Mfalme 👑🇹🇿

Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

We will teach you how to be a Man | Men's Health & Welfare | Life Coach | Work smart & Hard

Dar es Salaam, Tanzania t.co انضم Sep 2024
331
سلاسل التغريدات
0
عدد المشاهدات
61.7K
متابعون
29.8K
تغريدة

سلاسل التغريدات

NAOMBA NISHAURI MIMI NAFANYA MAZOEZI ILA NAWAHI KUCHOKA . UZI 🧵 (MDAU kutoka DM) KWANINI UNACHOKA HARAKA 👇 .. https://t.co/asCEomKs3D

KUPUNGUZA TUMBO KIRAHISI (KITAMBI) ~ MAZOEZI MANNE (4) SEHEMU YA 2 Inspired By @Mkunga_Og Uzi🧵 RETWEET 🔄 BILA SABABU Sehemu ya kwanza imeelezea vizuri Nadharia ya Kupunguza ki...

JE, NI SAHIHI KUTOKA NJE YA DIET (Cheat Meal)? Nini CHEAT MEALS, Ni vyakula vyote ambavyo unakula lakini havikuendelezi kwenye Afya au Malengo ya kupungua Uzito. Jana nilichea...

HOMONI YA TESTOSTERONE NA NGUVU ZA KIUME (WANAUME) UZI 🧵 Tesistosteroni ni aina ya homoni ya Muhimu kwenye Maisha ya Mwanaume, kukua kwa Mbupu  pamoja na kibofu (prostate). Tofa...

MAZOEZI BORA KWA MTU MWENYE UZITO MKUBWA ANAYEANZA MAZOEZI (OBESE) PART 2 UZI 🧵 Sio Mazoezi ya wepesi tu, Mazoezi ya kutumia Nguvu Husaidia watu wenye Uzito Mkubwa (Obese). Ha...

MAZOEZI BORA KWA MTU MWENYE UZITO MKUBWA ANAYEANZA MAZOEZI (OBESE) PART 1 Best Home Exercises for Obese Beginners UZI 🧵 Unajuaje kama Una uzito Mdogo, wa kati, Mkubwa na Uliopi...

MAZOEZI YA KUONGEZA UKUBWA WA RUNGU LA COMRADE KIPEPE 🍆 UZI 🧵 Watu wazima nyie hapa simuongelei @kipepe123 TAHADHARI‼️ Hakuna Dawa za Kuongeza Uume ila Kuna Mazoezi yanayoweza K...

MAZOEZI YATAKAYOKUFANYA UWE MNYAMA KITANDANI UZI 🧵 (Mfupi Sana) https://t.co/oDniuQPBYC

UNATAKA KUONGEZA MWILI? HERE'S HOW YOU GO FROM BEING SKINNY TO BULKY 💪 UZI 🧵 Miaka mi3 imepita tangu nikutane na mtu alidhoofu, Akisema Sijui Nawezaje Kutengeneza Mwili, Sijui...

MATUKIO YA KUTISHA 2023 ALIYOTABIRIWA NA NOSTRADAMUS MIAKA 465 ILIYOPITA UZI 🧵 Tuache Mazoezi kidogo, Nilivyoona hii Nimeshtuka, Huyu Nostradamus Kitabu Chake kinasema Matukio Sa...

DAKIKA 5 ZA MAZOEZI HAYA NI SAWA NA KUKIMBIA Dk 45 UZI 🧵 Wengi hatufanyi Mazoezi kwa sababu ya Muda Lakini unatakiwa Mazoezi Kufanya Mara 4 kwa wiki Tafiti zinasema kutofanya...