KUPUNGUZA TUMBO KIRAHISI (KITAMBI) ~ MAZOEZI MANNE (4)
SEHEMU YA 2
Inspired By @Mkunga_Og
Uzi🧵
RETWEET 🔄 BILA SABABU
Sehemu ya kwanza imeelezea vizuri Nadharia ya Kupunguza kitambi, Pita kwa @Mkunga_Og lakini kwa Matokeo ya Haraka Zaidi,
Ongezea Mazoezi haya...👇

1️⃣ Leg raises ni Moja ya Zoezi Bora Sana kwaajili ya Tumbo Ambalo linaweza Kuimarisha Misuli ya Tumbo, Kiuno na kuondoa nyama za Mgongo
Lala Chali nyanyua Miguu yako Nyuzi 90 huku Mikono yako umeiweka chini ya kiuno kukupa balance
Tazama hapa👇
youtu.be
Lala Chali nyanyua Miguu yako Nyuzi 90 huku Mikono yako umeiweka chini ya kiuno kukupa balance
Tazama hapa👇
youtu.be
2️⃣ Heel Touches linaimarisha Misuli ya core, NI Zoezi mama linaweza Kuimarisha tumbo la Juu, chini katikati na Maungio ya Kiuno (kwa kifupi ni Six pack)
NB; Core ni Muunganiko wa Misuli ya Tumbo juu na chini, pembeni na Mgongo
Tazama kwenye link hii 👇
youtu.be
NB; Core ni Muunganiko wa Misuli ya Tumbo juu na chini, pembeni na Mgongo
Tazama kwenye link hii 👇
youtu.be
3️⃣ Sit ups ina imarisha Misuli ya Tumbo kwa asilimia kubwa hili ni Zoezi Mama Ambalo kila anayeanza kufanya Mazoezi basi alijaribu
Fanya mara 10 Rudia mara 3
Usipoelewa picha , Tazama hapa 👇
youtu.be
Fanya mara 10 Rudia mara 3
Usipoelewa picha , Tazama hapa 👇
youtu.be
4️⃣ Plank huboresha Uwiano wa mwili, huimarisha Mgongo, shingo, Kifua, Mabega na Misuli ya Tumbo, kama Utafanya plank kila siku Mgongo wako utanyooka na mafuta ya Tumbo yataisha
Fanya mara mbili kwa sekunde 30
Tazama hapa 👇
youtu.be
Fanya mara mbili kwa sekunde 30
Tazama hapa 👇
youtu.be
👉Wengi tumekuwa tunavutiwa na Mazoezi ila hatujui nini cha kufanya
👉Wengi tuna maswali kuhusu Mazoezi lakini hatujui pakuuliza
👉Wengi tunatamani kufanya Mazoezi yawe Sehemu ya Maisha lakini hatujui pa Kuanzia
Njoo DM, Niulize Chochote kuhusu Mazoezi .
Nifollow @ommyfitness

جاري تحميل الاقتراحات...