Mfalme 👑🇹🇿
Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

6 تغريدة 4 قراءة Feb 18, 2023
MAZOEZI YATAKAYOKUFANYA UWE MNYAMA KITANDANI
UZI 🧵 (Mfupi Sana)
Mazoezi haya yanaboresha mfumo wa uzazi, kuboost testosterone and prostrate health, kurudisha afya ya kibofu na kuondoka Hali ya kuwahi kufika kileleni
1.Kegels
Jinsi ya kufanya Mazoezi ya Kegel
Hakikisha kibofu chako hakina kitu, lala chini kunja Miguu
Nyanyua Kiuno chako juu. Tulia kwa sekunde 3-5
Rudi katika hali ya kawaida tulia kwa sekunde 3-5
Rudia Mara 10 slow , Mara 3 kwa siku
Kwa haraka fanya mara 50, mara 3 siku
2. Tembea, Dakika 45 kwa siku, × 6
Huongeza mzunguko wa Damu, kutembea haraka, kukimbia na shughuli zingine Husaidia Maisha ya sex kwa wakati huo huo huzuia shambulio la Moyo, "anasema Dr Mccall"
Hufanya mishipa kuwa misafi na hupelekea kuwa imara na kusimama kwa Muda Mrefu
3. Fanya Mazoezi Magumu
(Dakika 20, Siku 5 za wiki)
Tafiti inaonesha kadri unavyofanya Mazoezi, unaimarisha mzunguko na kupelekea kusimama Imara, In fact, 30% ya wanaume wana tatizo hilo, Research ya Harvard university
Nifollow @ommyfitness
Retweet tuwasaidie na wengine
Zama DM Niulize Swali na Niambie unataka kujua nini kuhusu mazoezi

جاري تحميل الاقتراحات...