Mfalme 👑🇹🇿
Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

10 تغريدة 7 قراءة Feb 18, 2023
JE, NI SAHIHI KUTOKA NJE YA DIET (Cheat Meal)?
Nini CHEAT MEALS, Ni vyakula vyote ambavyo unakula lakini havikuendelezi kwenye Afya au Malengo ya kupungua Uzito.
Jana nilicheat , Nilivyopost video imekuja na Majibu mengi ya kuwakatisha Tamaa wengi wenu..nitaelekeza kwanini?
Kula Chakula sio sahihi Haimaanishi umecheat ila kucheat ni pale unaposhindwa kufatisha ratiba yako ya Chakula.
Cheat meal haihusiani na tunachokihitaji chakula kisicho na Afya
Video iliyoleta Huu Uzi..👇
Baadhi ya Comments za wanafunzi 👇
Nimechanganyikiwa Japo sio Sana Tangu nimegundua Kuna watu wako Dedicated zaidi ya Mwalimu..Ni Hatua Nzuri
Mnanidai Maelekezo nitawaelekeza
Cheating day ni kitu cha Kawaida kwa Wafanya Mazoezi wakubwa, wazoefu na wale walimu wa Gym, fitness n.k
Mara nyingi hatucheat kila siku ila kwa wiki mara 1 au Kwa mwezi mara 1, ili kutupatia Hali zaidi ya kufanya Mazoezi pale tunapohisi umelega
Soma caption hii👇
Ni Bora kwa wanafunzi au Clients kubakia katika Ratiba bila kucheat, kwa Sababu ni Ngumu kulipiza kwenye Mazoezi kama ninavyoweza.
Unaweza kufanya Mazoezi kwa Dk 30 Mpaka Saa 1 Umechoka,
Lakini Naweza kufanya Mazoezi hata MaSaa 3
Cheating achia Big Boyz ✊🙏🏽
Mfano Mwanafunzi Umecheat na kula 1200 CALORIES lakini Muda wa Mazoezi ya Dakika 30 ni sawa na kuchoma 200-300 CALORIES, So Umeacha zaidi ya CALORIES 1000 zitakazokuletea shida
Lakini nikifanya Mazoezi Masaa Mawili ni Sawa na Calories 1300
Huyu beast cheating day ni jumapili
Kuna Mifano Tofauti inaonesha Faida ya Cheating Day, lakini kinachomatter Zaidi nini unaenda kufanya Next?
Na-train kila Siku , Nacheat Mara Moja Kwa mwezi kwanini upoteze Imani juu yangu 😀?
Je huoni Matokeo ya Mwili Wangu? JE Huna Uhakika kama natrain kila wakati?
Kuna Mifano Tofauti na Mizuri kuhusu Umuhimu wa cheating, lakini na sisitiza usiifanye wewe Mwanafunzi kwa Sababu ni Ngumu kufanya unachotakiwa kufanya baada ya..
Baki kwenye Mstari, Mchungaji akidondoka kwenye Bonde, Kondoo mwenye akili hubakia malishoni Kumsubiri mchunga wake
Ndio..Unaweza ku-skip kufanya Mazoezi Siku 1 au 2, Unaweza kula Chocolate Siku 1 au 2 ..
Lakini Muendelezo wa kufanya kilichosahihi, ndicho kitakachokupa Matokeo.
Hata Mwl wa SoMo ulilofaulu Sana alikuwa haingi kila kipindi lakini vipindi alivyoingia na Vingi kuliko alivyokosa
MWISHO
Stay Focused, Don't lose Concentration
Retweet ifike kwa wengi waliokata Tamaa, na kuona haiwezekani
Niulize Chochote DM kuhusu Mazoezi
Usisahau kunifollow @ommyfitness

جاري تحميل الاقتراحات...