Mfalme 👑🇹🇿
Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

7 تغريدة 6 قراءة Feb 18, 2023
HOMONI YA TESTOSTERONE NA NGUVU ZA KIUME (WANAUME)
UZI 🧵
Tesistosteroni ni aina ya homoni ya Muhimu kwenye Maisha ya Mwanaume, kukua kwa Mbupu  pamoja na kibofu (prostate).
Tofauti ya homoni ya tesistosteroni ni homoni ya estrogeni ambayo inapatikana kwa Wanawake.
Shuka..👇
Homoni hii husaidia kwenye balehe katika ukuzi wa mwili na Maumbile , kuwanda kwa mabega, kukua ndevu, kuwa na sauti nzito na pia kuweza kuzaa.
Homoni hii hupatikana kwa wote, waume na wake. Hata hivyo kiwango cha homoni hii kwa wanaume huwa mara saba Zaidi.
Kuangalia Pornography, kujichua, kutopata Usingizi wa kutosha, kutofanya Mazoezi na Uzito Mkubwa hupelekea kuwa na low testosterone
Kuwa na testosterone inaweza kuharibu Maisha yako
Dalili zinazoonesha kuwa una low testosterone
•Kutokuwa na hamu ya tendo
•kupenda kujichua
•kutosimamisha vizuri
•Kutohimili tendo
•kuchoka choka
•kuwa na Mbupu Ndogo
•kutoweza kuzalisha
Namna ya kujitibu
•Fanya Mazoezi 3-5 kwa wiki
•Kula protini ya kutosha
•Tongoza
•Lala Masaa 7-9
•Usimtume Text, piga simu
NB; ukiwa na testosterone ndogo jnakuwia Vigumu kuongea na Mwanamke, kujikatia Tamaa ukikataliwa unajilaumu hichi Hufanya kurudi kujichua..
Madini ya Zinki , Magnesium na Boron, Hupatikana kwenye vyakula na Huongeza Testosterone kwa kiwango kikubwa, Vyakula kama
•Samaki, Pweza
•oysters (Chaza)
•Maembe
•Parachichi
Na vingine vingi
Retweet kusaidai Wengi
Nifollow @ommyfitness
DM kwa mahitaji ya Mazoezi, na uelewe kuhusu vitu vifananavyo na hivi

جاري تحميل الاقتراحات...