Mfalme 👑🇹🇿

Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

We will teach you how to be a Man | Men's Health & Welfare | Life Coach | Work smart & Hard

Dar es Salaam, Tanzania t.co انضم Sep 2024
331
سلاسل التغريدات
0
عدد المشاهدات
61.7K
متابعون
29.8K
تغريدة

سلاسل التغريدات

USIYOYAJUA KUHUSU UJAUZITO NA MAZOEZI UZI 🧵 Kuzaa mtoto kunatisha. Sio tu afya ya mtoto, lakini wasiwasi juu ya maumivu ya kuzaa na matatizo ambayo unaweza kukabiliana nayo baada...

JE, UNAPAMBANA NA NIDHAMU YA MSINGI? (PUNYETO) Je, unajisikia mnyonge na Unajichukia kwa sababu ya chaguzi unazofanya? Je! unataka zaidi kutoka kwenye Maisha? Suluhisho pekee u...

MWANAMKE AKIKWAMBIA HAYA NI MUDA WA KUMUACHA HUYO DEMU WA MTAA 1. Kiasi Gani Cha Pesa Umesema unaingiza kwa Mwaka?..

MFALME FANYA HIVI KILA SIKU UDUMU KITANDANI: UZI 🧵 MFUPI 1. Bridges (reps 20 x seti 3) Gusa link 👇 https://t.co/UheJO7UO3C https://t.co/2PsvbCCToI

SABABU 6 KWANINI HAUPUNGUI UZITO UZI 🧵 Ikiwa una Metaboliki ya chini , Gene zako zinaweza kulaumiwa. Watu walio na Miili Mjkubwa ni kazi kuchoma mafuta mwilini.. Lakini inaweze...

WANAWAKE HAWATOKUBALI KAMA WANATAKA HIVI KUTOKA KWA MWANAUME UZI 🧵

NJIA 8 ZA UUME KUSIMAMA IMARA UZI 🧵 Mfalme wakati unaendelea kupitia Huu Uzi, Kuna Dozi asili ya ASALI, KITUNGUU SWAUMU na TANGAWIZI natengeneza hapa Kuna Uzi wake Utakujia pia...

KWANINI UNAFANYA MAZOEZI NA HUPOTEZI MAFUTA? UZI 🧵 Kuna Sababu 8 Kwanini Hupotezi Mafuta Hauchomi Mafuta ni kwa sababu unakula kalori nyingi, Njia pekee ya kupoteza mafuta ya m...

KUWA MGUMU NA UWE BORA ZAIDI KITANDANI BAADA YA WIKI 12: UZI 🧵 Mazoezi haya yaweza kufanya Nyumbani au Gym kwa Dk 30 Tu Kwa Siku 5 ya WIKI https://t.co/REGMr04BDj

WANAWAKE WANAOGOPA KUKATALIWA (Mwanaume CODE🗣️) UZI 🧵 Unataka Ukomeshe kiburi cha Mwanamke Muache, Kwa Muda au Usimtafute na ikitokea Amekuacha yeye Usimsumbue ...Hii inawaumiza...

KWANINI WANAUME WENYE THAMANI WANAFATWA SANA NA WANAWAKE? SABABU 8 (LAZIMA UJUE) UZI 🧵 Umewaza Kwanini Kuna Demu anamfanya Mwanaume mwingine kama Takataka lakini Demu huyo huyo a...

MAMBO MATANO (5) YATAKAYOKUBADILISHA KUTOKA KUWA MVULANA MPAKA MWANAUME 💪 UZI 🧵 Kijana Niruhusu Nikuelimishe Kila kijana mmoja lazima alijibu hili Swali kwenye Maisha yake, Je...