Mfalme 👑🇹🇿
Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

18 تغريدة 6 قراءة Feb 18, 2023
MATUKIO YA KUTISHA 2023 ALIYOTABIRIWA NA NOSTRADAMUS MIAKA 465 ILIYOPITA
UZI 🧵
Tuache Mazoezi kidogo, Nilivyoona hii Nimeshtuka, Huyu Nostradamus Kitabu Chake kinasema Matukio Sahihi tangu kale
Kitabu chake ni "THE PROPHECIES OF NOSTRADAMUS" cha Mwaka 1555..Wasomi kazi kwenu
1. VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE NCHINI MAREKANI, Nostradamus Anasema Damu Nyingi zitamwagika, kutakuwa na Mpasuko wa pande Mbili Nyekunde na Blue inaaminika ni chama cha Democratic na Republic hajaeleza Chanzo cha Ugomvi, ila Damu ya kutosha itamwagika
2 UINGEREZA KUPATA MFALME MPYA, alitabiri Mfamle mpya ambaye ni mpenda haki mpole , mwenyewe moyo safi, Huu ni utabiri unaonekana kutimia, Baada ya Malkia Elizabeth 2 kufariki September, 2022,
Mtoto wake Prince Charles wa 3 anachukua nafasi ya ufalme na inaaminika tukio la kusimikwa rasmi litafanyika mwaka 2023, hii inatoa mashiko ya kuzingatia tabiri alizotabiri
3. PAPA MPYA ATACHAGULIWA, Nostradamus aliandika itakapofika 2023 Papa mpya wa Roma catholic atachaguliwa na kutokana na uchaguzi wa papa huyu kutakuwa na Mpasuko kwenye kanisa lakini Papa huyo atakuwa madarakani kwa Miaka mi5 tu atafanya skendo ili aachie madaraka yake..
kama ni mfatiliaji utajua kuwa papa wa sasa Francis alishawahi kuongea suala la kustaafu kutokana na kudhorota kwa afya yake
4. KUHARIBIKWA KWA UTAWALA MKUBWA BARANI ASIA
Ukiitazama Bara la asia utaona Utawala mkubwa ni Russia na China, Nimeitaja Russia licha ya kufahamika ipo magharibi ila sehemu kubwa ya ardhi yake ipo Asia, kutokana na Hilo Nostradamus anasema ...
Taifa Hilo litaanguka kutokana na Bahati mbaya watu wengi washaanza kufikiria na Russia au China ama vyote kwa Pamoja
5. KUFARIKI KWA RAISI WA URUSI
Nostradamus alisema Raisi wa URUSI lakini wengi wanajiuliza je ni Putin? Alisema kifo cha Raisi huyo kitatokana na anguko la uchumi na nchi kuingia kwenye migogoro, Nostradamus alitabiri kuwepo kwa majaribio Mengi Sana ya Kumuua Rais ya URUSI..
utagundua anayeongelewa ni Putin ambapo yamefanyika majaribio Mengi ya kuumua ila hayakufanikiwa ndio Maana yupo hai mpaka Leo
6. ANGUKO LA UCHUMI
litaikumba Dunia Nzima watu wataishi kwenye mazingira magumu sana na litadumu Miaka kadhaa, kutokana na hili Nostradamus anasema kutatokea CANNIBAL, Watu wanaokula Binadamu wenzao, kutokana na Njaa itakayotokea hakuna atakayeweza kuishi.
7. MABADILIKO MAKUBWA YA HALI YA HEWA
alitabiri Kutakuwa na Hali mbaya ya hewa Barafu kuanguka toka milimani na Kuongeza Maji katika mito hivyo kuusumbua mkondo wa Maji baharini, kutakuwa na joto Qali Sana hivyo Maji ya bahari yatakuwa ya moto na mamia ya Samaki kufa
8. KUPUNGUA KWA IDADI YA WATU ULAYA
Nostradamus alisema kutakuwa na anguko kubwa la watu barani ulaya kwani Bara Hilo litashambuliwa na Mabomu ya Nuclear sio Hilo tu pia Uingereza mpaka sasa kumekuwa na tatizo la kutozaliwa kwa watoto wadogo hivyo litachangia Sana
NOSTRADAMUS ALIISHIA HAPO ..Ila nimemsikia mwingine anasema 2023 Itakuwa mwaka mbaya kuliko yote
👉kuvutana, kushindana, Magomvi, Uovu , kudhuru, kufanya Uadui, KUIBA , Wezi watakuwa wengi, Ufisadi ,uharibifu, Rushwa na Vita za Watu na kuumizana
Shida zitakuwa Nyingi Sana zitakazosababishwa na Vita
Mwaka huu(2023) Mambo Mengi yatakuwa Mabaya, kumwaga Damu na kutesana, kuwekana kwenye vizuizi na kuondoana kwenye Madaraka
Fitna zitafanywa Sana na kuhakikisha watu wanatoka kwenye nafasi zao au Vyeo Vyao (marafiki)
Viongozi wakubwa wakubwa kwenye Baadhi Ya Nchi watakufa zaidi upande wa Mashariki ya Dunia..Je ni Putin? Au Pope Francis? Hatujui , Tusubiri
Mwaka utakaokumbwa na Mauaji Zaidi, Mwanamke Kumuua Mumewe au House girl Kumuua Boss wake (kuwa Makini na Manzi yako)
KWENYE KILA TATIZO KUNA FURSA, ZAMU YETU WAAFRICA KUENDELEA KAMA MATAIFA YA MASHARIKI NA MAGHARIBI YA ULAYA HAYATAKIWA STABLE
Mimi ni @ommyfitness , Nilishangazwa na haya nikaona UZI wa Mazoezi ya KUONGEZA MWILI usubiri Kwanza
Alhamis ntashusha 🙏🏽 Tumalize na push ups 30 Tu 💪
Mimi ni @ommyfitness , Haya mambo ya Utabiri ni ya kina @GpixelP ila tangu Nimesikia haya Nilikosa Usingizi
Nikaona UZI wa NAMNA YA KUONGEZA MWILI usubiri Kwanza ila Alhamis nitashusha
Labda Umeshtuka, Umeshangazwa au kufurahi Tusubiri kuona, Maliza kwa Push ups 30 Tu💪

جاري تحميل الاقتراحات...