Kuanza safari ya Kupunguza Uzito au kufanya Mazoezi ni Ngumu kwa kila anayeanza Mazoezi ( Beginner)
🎯Mwaka Mpya Unahitaji majibu Mapya, nayo kuwa FIT tu.
Hatuna Muda wa kupoteza na kumbuka kila unavyozidi kusubiri ndivyo inazidi kuwa ngumu Kupigana na Obese

Je Unahitaji Kwenda Gym Ili uwe FIT?
HAPANA (BIG NO)
Kwenda Gym imekuwa haifanyi kazi kwa watu wengi, Hauhitaji kuzungukwa na vyuma Vingi ama vifaa vya kisasa ila kuwa FIT, ila Nini kipo moyoni kwako! Unataka kuwa wapi ukifika mwezi wa 6? kilichopo Ndani yako hicho ndio Muhimu

🎯Wakati unapanga ratiba ya Mazoezi zingatia mambo haya;
1️⃣ Unatumia Dakika Ngapi kwa siku kwenye Mazoezi, Anza na Dk 10 kwa na ongeza Hadi Dakika 50 kwa wiki zijazo, Fanya Mazoezi mara 5/wiki
Pia unaweza kufanya kwa Dk 37 kwa siku 7 hii itafanya ufike lengo la Dk 250/ Wiki

2️⃣ Mazoezi yasiwe na Magumu ,
Hivyo Utahitaji Mtu wa maelekezo, Hii ni Kwa ajili ya Kupunguza Hatari ya Maumivu kwenye maungio ya Mwili, mwili huuma kwa sababu ya kutozea ulichofanya Jana lakini wakati Mwingine Huuma kwa sababu ya kufanya Mazoezi Makali kupitiliza...

NB; Kufanya Mazoezi Masaa Matatu kwa siku Moja haitokusaidia na sio Njia Sahihi ya kutoa Uzito ila kufanya Mazoezi kwa dk 30 kila siku hii itakusaidia Sanaa
3. Mazoezi ya Cardio, pumzi kama Jumping jacks, high stepping, air skipping, Burpees n.k
Nifollow @ommyfitness kwa Tips za Mazoezi Zaidi
Turn on notifications kwa PART 2
Niulize Swali lolote kuhusu Mazoezi
Natengeneza program za Mazoezi ya Nyumbani kwa Gharama nafuu Sana

جاري تحميل الاقتراحات...