Millambo®

Millambo®

@Millambo_

I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to create converting content & sell high ticket offers.

Dar es Salaam, Tanzania t.co انضم May 2015
324
سلاسل التغريدات
0
عدد المشاهدات
26.5K
متابعون
34.5K
تغريدة

سلاسل التغريدات

MAFUNZO 30 ya Maisha Ambayo Unaweza Usiwahi Kuyasikia Popote 🧠 Chukua kadhaa, kisha: Bookmark & Share na Wana 🫡 1. Tofauti yako na aliyefanikiwa ni kumua na kutenda. 2. Muda, E...

Kama Unafanya kazi SOMA hii⁉️ Utaokoa Maisha yako...🫡 Siku hizi kumekuwa na ongezeko la vifo vya ghafla kya vijana wengi (24-45). Kwanini? Kuna sababu nyingi lakini jambo la msi...

HATUA 8 ZA KUBADILI MAISHA YAKO KIBABE 🫡 Ukiufuata huu mkeka, UMETOBOA! Bookmark Na Share Na Wana! 1. Potea na uwekeze kichwani mwako. Unahitaji kuadimika kwa muda na uingie chi...

SIRI ... Kwanini Wajapan Wanaishi miaka mingi Kwa afya na furaha⁉️ Japan ni miongoni mwa nchi chache duniani zenye watu wengi wenye miaka 100+ Unajua kwanini? 1. Kula kwa afya:...

Mambo 10 Natamani Ningejifunza Nikiwa na Miaka 18: 🧵 Repost Iwafikie Wana 🫡

Mambo mazito nilibaini wakati najitafuta. Mambo mengi umefichwa na Mfumo ili uishi kama robot. Uishi vile wanataka wao na kadri unavyoingia kwenye mfumo, ndio wanapiga hela, na w...

"MANIFESTATION" Siri ya KUPATA UNACHOKITAKA MAISHANI 🧠 Moja ya siri kubwa uliyowahi kufichwa ni kuwa: Ili kufanikisha kitu duniani. Ni LAZIMA...👇 https://t.co/xt3YCV1awY https...

Kwa Miezi 6 ijayo kuwa ADDICTED na hizi Tabia 8. Utakuwa umezaliwa upya na, Hakuna atakayeweza kukukwamisha. Repost Wana Wajifunze! 🧵 https://t.co/hpMWPDJRC8 https://t.co/w0FrP...

HAKUNA ANAYEJALI, WORK FOR YOURSELF: Tuna ndugu, jamaa na marafiki, lakini utashangaa vile uko peke yako. Leo tunakumbushana tu. "UKO PEKE YAKO" Repost Imfikie Mwana 🫡 🧵 https...

NAMNA 10 ZA KUJIFUNZA NA KUKUA KILA SIKU Kila Siku Hakikisha Unayaishi haya... Repost Wengi Wajifunze! 🧵 https://t.co/RAQIZQWBWD https://t.co/rjypDHzpvJ

KWANINI MAFUTA YA MBEGU NI SUMU? Miaka 120 iliyopita ulizuka uvumi mkali juu ya ubaya wa mafuta ya wanyama. Miaka 50 baadae, dunia inashikwa na butwaa kwa wimbi la magonjwa yasom...

Kwa miaka takribani 5 nimesoma na kujifunza mengi juu ya mafanikio na umasikini. Nimebaini SABABU 10 zinazowafanya wachache kufanikiwa na wengi kuzidi kuwa masikini. 🧵 Repost We...