Millambo®
Millambo®

@Millambo_

15 تغريدة 7 قراءة Sep 09, 2023
Mambo 10 Natamani Ningejifunza Nikiwa na Miaka 18:
🧵
Repost Iwafikie Wana 🫡
1. Unakuwa kile unafikiria.
Akili ya mwandamu inaweza ku.attract kitu hata kilicho mbali.
Kadri unavyoliwaza jambo, kulipa muda kichwani na kulizingatia ndivyo unaliongezea kasi na uwezekano wa kuwa real kwenye maisha yako.
2. Sheria ya uwekezaji inasema, kile unachowekeza kwenye maisha ndivyo utakavyopata.
Biblia inasema, Mwenyezi Mungu hazihakiwi, kila mtu atavuna kadri anavyopanda.
Wekeza muda, energy na pesa kwenye kitu cha thamani zaidi kwenye maisha yako.
3. Kwenye maisha kuna vitu 3 vya thamani zaidi.
Muda, energy na pesa.
Unaweza kutumia pesa kuongeza muda wako.
Na huo muda ukakupa pesa nyingi zaidi.
Muda ukipotea haurudi nyuma.
Sasa kwenye kila kitu unachowaza na kukipa muda hapo unaweka energy yako...
Akili inakofocus ndiko energy inaenda.
Chagua kuwekeza energy yako sehemu sahihi zaidi.
Linda sana Muda, Pesa na Energy yako.
Mwenye utajiri huu, ametoboa.
4. Kwenye maisha una uchaguzi wa kuwa mtumiaji au mtengenezaji.
Pesa iko kwenye kutengeneza.
Iwe ni mitandaoni, chagua kuwa creator na sio mlaji tu.
Iwe kwenye maisha chagua kuunda na kuuza kitu chako binafsi.
Maisha yapo kwenye kuuza kitu chako.
5. Mambo mengi unayofanya kila siku ni matokeo ya kuwa programmed.
Kuanzia kula junk food, Kushinda social media bila kujua unafanya nini, Mpira, betting, porn, movies, taarifa za habari n.k...
Ifike kipindi uwe na uhuru wa kufanya mambo binafsi.
You need that freedom.
Otherwise utaendelea kuishi kama program
na watu wakipiga hela kupitia uharibifu wa maisha yako.
Wake up!
6. Unaweza kujifunza kutengeneza bahati yako.
Mkaa bure sio sawa na mtembea bure.
Ndugu, bahati inavutwa.
Ukikaa ghetoni 24/7 unaweza kubahatisha kuona movie kali.
Ukiwa kwenye mishe bahati ya kukutoa inakaribia kila siku. Fanya kila siku ndivyo unavyoikaribia bahati yako
7. Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na cheti na kuwa na ujuzi.
Watu wenye ujuzi ndio wapo kwenye soko la ajira kwa sasa.
Hakuna mtu anatakupa kazi kisa una cheti.
Watu wanataka matokeo, watu wanataka ulete thamani.
Unahitaji ujuzi wa thamani ili ku-survive ushindani huu .
8. Afya yako ndio mtaji namba moja.
Watu wengi wanapuuzia sana hili jambo.
Ni kweli utafutaji unahitaji kasi sana.
Lakini je, unamwachia nani akulindie afya yako.
Wakati unakomaa kutafuta hakikisha unakumbuka kuishi:
Kula vizuri, kunywa vizuri, pumzika and have fun.
9. Utalipwa kulingana na thamani yako.
Sheria ya fidia inasema ‘kiasi cha pesa unachoingiza ni sawa kabisa na umuhimu wa kile unachokifanya, uwezo wako wa kukifanya na ugumu wa watu kupata mbadala wako.
Pandisha thamani yako juu. Itakulipa maradufu.
Work on yourself kinds.
10. Unapoteza pesa na rasilimali kuonesha watu ambao hawana habari na wewe.
Utanunua mavazi, usafiri, vito vya thamani, pengine hata usivyohitaji ili tu oonekane wa thamani,
kumbe unapoteza rasilimali zako bure...
KUKUA ni uwezo wa kufanya mambo yako binafsi kiwewe bila kujali nani anaangalia.
Repost Wengi Wajifunze!
Ili kujifunza zaidi kwenye Bio Hacking, Personal Development na Expert Business:
FOLLOW ME: @millambo_
Join our Telegram Channel:
t.me
Subscribe to our You Tube:
youtu.be

جاري تحميل الاقتراحات...