Millambo®

Millambo®

@Millambo_

I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to create converting content & sell high ticket offers.

Dar es Salaam, Tanzania t.co انضم May 2015
324
سلاسل التغريدات
0
عدد المشاهدات
26.5K
متابعون
34.5K
تغريدة

سلاسل التغريدات

SHERIA 30 KWAKO MWANAUME ILI KUJENGA JAMII IMARA 💪 Kadri siku zinavyoenda jamii zetu zinazidi kuyumba. Ni wakati wa kusimamia uanaume na kuulinda kwa gharama yoyote. Hizi sheria...

Kama Unasumbuka na Kitambi na Unene Soma Hii…🔓 Nimekuwa nikikutana na watu wengi sana wanaenda gym wakitamani kupungua uzito. Unawatizama, na kuwaonea huruma tu. Haiwezekani ku...

NAMNA YA KUAGIZA MZIGO ALIBABA A-Z 💡 Based on True Story... Hapa nakupa process nzima A-Z. 🧵Full Madini... (Part 2) RETWEET Wengi Wajifunze 🙏 https://t.co/UQilqfalsa

NAMNA YA KUAGIZA MZIGO ALIBABA A-Z 💡 Based on True Story... Ilinichukua miezi 6 kuweza kuagiza mzigo wangu wa kwanza Alibaba. Sio kwamba nilipenda, hapana. Wana wanabana code ki...

Mafanikio kwenye maisha yako yanategemea KITU kimoja PEKEE, BRAND yako...📢 Ukweli Mchungu ambao wengi hawapendi kuukubali. Haya hapa, mafunzo 8 yatakufundisha KUJENGA BRAND yako...

Kuna SIRI Kubwa sana IMEFICHIKA kwenye CONNECTIONS. Napoleon Hill anaiita “MASTERMIND" Hii ni niia ya mkato kwenye mafanikio. Hapa ndipo wachache wanafanikiwa na wengi wanafamba....

Ijumaa hii huko FB kuna mama alipikwa kupikwa. Jamii zetu zimeingia ubaridi. Tunakula vyakula vinavyotuangamiza. Magonjwa yatokanayo na chakula yamekuwa mengi na khali ni mbaya...

NAMNA 10 ZA KUJIFUNZA NA KUKUA KILA SIKU... Kila Siku Hakikisha Unayaishi haya... Chapa RETWEET Wengi Wajifunze. 🧵📢 https://t.co/zuWCufXMI8

SHERIA 20 ZITAKAZOKUSAIDIA KUDEAL NA NDUGU IPASAVYO😎 Moja ya Changamoto kubwa ni namna ya kuishi na ndugu. Yako mengi ya kujifunza. Hizi hapa nondo 20 zitakusaidia kupunguza s...

SENTENSI 30 ZITAKAZOKUFANYA UWE NA MATOKEO MAKUBWA ZAIDI. RETWEET Wengi Wajifunze... 🙏 🧵📢 https://t.co/3leU4UfyfB

UJUZI 30 UtakaoONGEZA THAMANI yako maradufu na KUKULIPA daima🤑 __UZI__🧵__ RETWEET Wengi wapate SOMO 🙏 Haya twende kazi... 👇 ▪️ Uwezo wa kujua wapi useme, na wapi unyamaze. ▪️...

Hakuna kitu kigumu kwa kijana kama kupata Wazo la Biashara...🧠 Nimekusogezea hapa ideas kadhaa unazoweza kuanza kupiga hela bila kuwa na mtaji wowote. Mtaji ni simu na bundle tu....