Millambo®

Millambo®

@Millambo_

I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to create converting content & sell high ticket offers.

Dar es Salaam, Tanzania t.co انضم May 2015
324
سلاسل التغريدات
0
عدد المشاهدات
26.5K
متابعون
34.5K
تغريدة

سلاسل التغريدات

Ukweli Mchungu Kwako Mwanaume. Hata kama hakuombi hela, ila anataka uwe nazo tu (Inaitwa UHAKIKA wa maisha). Ukizikosa, umemkosa. Mara moja moja tuwe tunaambiana ukweli. 🧵 http...

Umezaliwa ukiwa nyuma kwa 3 BILA, ni half time na unatakiwa kupindua matokeo. Tumekuwa kwenye familia ambazo tunasikia: .Uhaba (Scarcity) .Bahati mbaya .Madeni .Njaa .Mikopo .Shid...

Namna ya Kufanikiwa bila Kubahatisha. Mbinu 15 za kivita. Retweet Wengi Wajifunze. 🧵 https://t.co/R8CbXWTP3n

Kwako Mwanaume, Dondoo 10 zitakazokusaidia kufanikiwa kimaisha na kutoyumbishwa. Maisha yanazidi kuwa magumu na dunia inazidi kuwa ngumu zaidi upande wako. Retweet. 🧵 https://t...

Tabia 7 zitakazokuweka mbele ya muda. RETWEET 🙏 🧵 https://t.co/A93jeK89Ho

KOZI YA BURE YA KUBADILI MAISHA YAKO📕🧠 Unataka kujifunza ujuzi mpya na hujui unaanzia wapi? Unataka: kukata kitambi? kuacha tabia mbaya? kujifunza tabia mpya? Haya yote ni magu...

MBINU 7 za Kukuongezea FOCUS ya Kukamilisha Malengo yako. Watu wengi wanatamani kuwa na uwezo wa ku-focus - Lakini wameshindwa. Concentration ni ujuzi ambao unaweza kujifunza na...

MBUNU 7 za Kukuongezea FOCUS ya Kukamilisha Malengo yako. Watu wengi wanatamani kuwa na uwezo wa ku-focus - Lakini wameshindwa. Concentration ni ujuzi ambao unaweza kujifunza na...

Moja ya SIRI Kubwa aliyotuachia Dr. Sebi ni UPONYAJI unaopatikana kwenye vyakula vya ASILI - Alkaline. Njoo tujifunze TIBA hii ya ASILI. Utapata pia ORODHA nzima ya vyakula ambav...

Daktari anayechukiwa zaidi na makampuni ya dawa, chakula na hospitali duniani, Alitibu na kuponya magonjwa yote ikiwemo kansa na kisukari, hadi wenye vipara. Njoo ujifunze namn...

Moja ya siri ngumu sana kuielewa huwa 👇 MIND yako ndo MTAJI wako. Kwa bahati mbaya huwa ngumu sana kumuelewesha mtu somo hili. Lakini ukishaelewa hili, UNABADILI maisha yako fast...

Moja ya changamoto kubwa inayowakumba vijana wengi ni kushindwa kujiambia ukweli. Mambo 10 ya kukusaidia kujitafakari na kubadili kabisa maisha yako. ReTweeT Wengi Wajifunze. 🧵...