Millambo®
I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to create converting content & sell high ticket offers.
عرض في 𝕏سلاسل التغريدات
Umewahi kujiuliza kwanini watu wengi hawawezi kuwa Consistent⁉️ Tatizo ni kubwa kuliko unavyodhani. Mambo 7 yatakayokusaidia kuwa na Nidhamu na Consistency ya hali ya juu. Madin...
Energy Drinks msiba wa watu wa chini. Kama bado unakunywa energy drinks, soma hii. Tafiti zinaonesha khali ni mbaya sana. LiKE na ReTWeeT Wengi Wajifunze 🙏 🧵 https://t.co/zCk7f...
NONDO 5 ZA KUISHI NAZO: Hizi zitakusaidia kubadili maisha yako na kufikia level kubwa ya mafanikio. Like Na ReTweet, Wengi Wajifunze! 🧵 https://t.co/0zxyh1pCIs
Mafanikio yako, yanaanzia KICHWANI🧠 Kutoboa kupo tu, ila sio kwa kila mtu. Ili kufikia level unayoitaka ya maisha lazima ubadili namna unavyowaza. Mafunzo 8 namna MIND yako inav...
Kila mtu anatamani kubadili maisha yake lakini ni wachche tu hufanikiwa... Njia rahisi ni kupindua meza kibabe. Kuna tofauti kubwa kati ya kutamani kitu na kuamua kukipata. Uzi...
Unajua kwanini WAJAPANI Wanaishi Miaka Mingi sana Duniani? Japan ina idadi kubwa sana ya Centenarians, yaani watu wenye umri wa miaka 100 na kuendelea. SIRI 9 za WaJapan kuishi...
Siri ulizofichwa kuhusu SUKARI inavyosababisha Magonjwa. "Pure, White and Deadly" ni kitabu kinachochunguzia uhusiano wa SUKARI na changamoto za kiafya. Mwandishi - Prof. John Y...
KAMA UNATAMANI KUJIFUNZA UJUZI MPYA NA HUJUI PA KUANZIA, Soma hii… Watu wengi wanatamani kujifunza ujuzi mpya wa thamani ili wabadili maisha yao. Wengi wanatamani na kuishia kuta...
Vyakula 6 ambavyo ni Dawa; Na ni lazima kuwa navyo nyumbani... 🥦🍅🩺 Like na Retweet Wengi wajifunze 🙏 🧵wa Afya...
Sentensi 15 zitakazokupa maisha na kukufikisha mbali⁉️ Kwako mwanume... 🏋️♂️ Like na Retweet 🙏 🧵 https://t.co/Zt1h5L2Krr
Kama Umefikisha Miaka 20, Soma Hii Kabla Hujachelewa. Miaka 20 – 30 ni miaka ambayo mara nyingi hupita bila kujua. Ni miaka ambayo inaweza kukutengenezea maisha bora au kuyazika...
Wapo wana wengi wanatamani kuishi maisha yako. Na wewe wapo wengi unatamani kuishi maisha yao. Maisha yalivyo ya ajabu...😎 🧵... LIKE na RETWEET Wengi Wajifunze! https://t.co/0...