Millambo®

Millambo®

@Millambo_

I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to create converting content & sell high ticket offers.

Dar es Salaam, Tanzania t.co انضم May 2015
324
سلاسل التغريدات
0
عدد المشاهدات
26.5K
متابعون
34.5K
تغريدة

سلاسل التغريدات

Kama mwanaume kuna mengi ya kujifunza. Kwa bahati mbaya, mengi tunajifunza muda ukiwa umeenda. Haya mambo 10 natamani sana ningeyashika tangu kijana mdogo. Repost Wengi Wajifunz...

Moja ya changamoto kubwa kwa mwanadamu ni kuogopa kujiambia ukweli. Mambo 8 ya kukusaidia kujitafakari na kubadili kabisa maisha yako. ReTweeT Wengi Wajifunze. 🧵 https://t.co/bO...

KILA MTU ANATAMANI KUFANIKIWA. Tatizo, wachache ndio wako tayari kulipa gharama. Mambo 7 yanayokuchelewesha na SULUHU zake. Retweet Wengi wajifunze! 🧵 https://t.co/vqqZTO2Yi5

Watu Wengi Hawajui Namna ya Kuweka MALENGO na Kufikia Ndoto zao. Miaka 5 iliyopita, nilifanya maamuzi magumu ya KUJIKOMBOA. Na huu ndio MSINGI Uliobadili maisha yangu. Hii ni RA...

"Ingekuwa kutajirika ni rahisi kila mtu angetajirika na Ingekuwa ni rahisi kufaniniwa kila mtu angefanikiwa." Tatizo linakuja: 95% ya watu hawawezi kulipa gharama. Ukifuata haya...

KUJIPENDEKEZA na KUSHINDWA kusema HAPANA ni ugonjwa unaokuua taratibu. Alama 12 za kuwa wewe ni mgonjwa na unahitaji tiba. ReTweet Wengi Wajifunze! 🧵 https://t.co/Zt02euNuUb

Mambo unayopaswa kuyafanya KAWAIDA ili usiwe mtu wa KAWAIDA. RETWEET Wengi Wajifunze. 🧵 https://t.co/WwXeUc6Q7f

Formula ya Kubadili Maisha yako Ndani ya Miezi 6 Pekee 🫡 Kwenye kufanikiwa hakuna ujanja ujanja. Unahitaji kuishi kimakusudi kwa kujua maisha yako A-Z. Hii hapa formula itakayo...

FURSA MPYA MTANDAONI 🧠 Kuwa Brand inayotembea, Itakulipa. Sasa hivi unahitaji simu yako tu kutengeneza kipato. ReTWEET Wengi Wajifunze. 🧵 https://t.co/3FIsZoagqe

Msidanganyike, Mwenyezi Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa chochote apandacho mtu, ndicho atakachovuna… Wagalatia 6:7. Huwezi kuwa na MILIONI kama Juhudi zako ni za LAKI. KIPATO chako n...

Sio kwamba huna bahati, HAPANA. Hujafanya vya kutosha. 95% ya watu wanategemea kupata wasichostahili duniani. Yaani uanataka kuvuna usipopanda. Mambo 10 ya kukujenga na kuweza ku...

Tabia 23 zitakazokufanya Mwenye Furaha zaidi na Usiyeyumbishwa na mtu. Huu ni msingi wa: .Afya njema .Mafanikio .Furaha RETWEET Wengi Wajifunze. 🧵 https://t.co/eZyMNMwvGM