Millambo®

Millambo®

@Millambo_

I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to create converting content & sell high ticket offers.

Dar es Salaam, Tanzania t.co انضم May 2015
324
سلاسل التغريدات
0
عدد المشاهدات
26.5K
متابعون
34.5K
تغريدة

سلاسل التغريدات

NJIA 7 za Kujiponya na Kuacha Puchu 🧠 Njia rahisi ya kutibu tabia ni ku-reprogram na kuiondosha kama ilivyokuja. Huwezi kupona urahibu wa punyeto kwa kunywa dawa. Watakuibia tu...

MAJANGA 10 Usiyoyajua kuhusu Punyeto. Sikia kwa mtu tu. Punyeto ni utumwa. Punyeto ni najisi. Itakutweza utu wako na kujiona NUSU mwanamme. Wengi wanateseka sana na puchu. SA...

Umefupisha sana, inasound uongo. Kongosho linazalisha homoni inatwa Insulin. kazi ya Insulin na kupunguza kiwango cha sukari kwenye damu. Kisukari sio matokeo ya kongosho kushin...

Kwanini Usinywe JUISI YA MATUNDA ya Kutengeneza Mtaani au Nyumbani 😎 Utakuwa umewahi kusikia, SUKARI ni adui namba 1 wa afya. Si ndio 🙅‍♂️ Sasa, nimekuelezea kwa lugha nyepesi ka...

Achana na Mkongo. 😎 Fanya haya Mambo 8 KUJITIBIA na KUPONA kabisa Nguvu za Kiume. Wanaume tumeumbwa na ka-ego fulani. Kuna mambo yanayotugusa na kutuumiza lakini hatutataka kuyazu...

Sheria 40 Mwanaume Anapaswa Kuziishi😎 Kama bado mvulana, achana nazo. 🧵Time 📢 RETWEET Wengi Wajifunze 🙏 https://t.co/tCTEaiTuji

Watu wengi hawawezi kusoma vitabu na kuvimaliza, wachache watajaribu na kuishia njiani. Hizi hapa MBINU 10 zilizothibitishwa zitakazokusaidia kusoma na kumaliza vitabu. Na kuongez...

Jamii inawachukulia poa na kuwadharau Baba Levo na Mwijaku. Sikatai, kuna kila sababu ya kuwasema vibaya. Nimekuletea hapa MAMBO 10 ya kujifunza namna ya KUJIBRAND kutoka kwa h...

Jana nilishare mambo 40 kuhusu AFYA niliyojifunza kwenye kozi 5 za Afya na Nutrition kwa mwaka 2022. Twitter walini-limit kuweza kumalizia mambo 15. Ni kama kuna limitation za th...

31.Utafiti unaonesha nyama ya broiler hubaki na madawa mengi hatari kwa mwanadamu. Jiangalie. 32.Kumbadili mtu lifestyle ni sawa na kumbadili dini au kabila. Ni tunu ya wachache....

14.Ukitaka kukata kitambi, acha sukari na wanga. 15.Dawa za meno zenye fluoride ni hatari kwa afya yako. 16.Kuwasaidia watu wa kisuakri tuanzie kwenye lishe. 17.Mwili ni 75% lis...

Mwaka jana NILISOMA Kozi 5 za Nutrition na Afya 🧠 Kuna mengi ya kujifunza. Haya hapa mambo 55 niliyojifunza yatakayokusaidia kuboresha afya yako 📌📢 Kindly RETWEET ikasaidie weng...