Millambo®
I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to create converting content & sell high ticket offers.
عرض في 𝕏سلاسل التغريدات
Wafundishe Wanao Kujitegemea na Kujipigania since day one. Haya mambo 10 yatawafanya watoto wako wapevuke kiakili na kujitegemea mapema. UZI... 🧵 https://t.co/HJZt16XaiW
Elimu ni mtaji, lakini SIO kila ELIMU itakutoa kimaisha. Mambo 13 ya kujifunza kwa kijana yeyote kabla ya kwenda chuo…🎓 RETWEET Wengi Wajifunze…🙏 UZI…🧵 https://t.co/hVQVQB2atP
The World is not Fair…👨⚖️ Kwenye hii Dunia Unaweza Kuwa na Haki, lakini bado Ukapigwa tu. Haya hapa mambo 11 ya vijana kujifunza kwenye sakata la Fei Toto. UZI…🧵 RETWEET Wengi...
UKIFANYA MAMBO HAYA 11 Kwa MWEZI 1 utakuwa binadamu USIYEKAMATIKA...💯 UZI...🧵 RETWEET Wengi Wajifunze 🙏 https://t.co/GeIjrixBNS
Kama unataka kuwa MTAALAM, na hujui uanzie wapi kuingiza KIPATO, basi huu UZI ni wako🔛 Nimekuchambulia niche 46 unazoweza kuanza kujifunza leo, na kuingiza kipato ndani ya mwezi…🤑...
Hii ndo VEGETABLE CHOPPER. Mashine kali sana ya jikoni. Ina slicers na graters, 12. Yaani unaweza kukata mboga mboga, matunda, karoti, chipsi n.k kwa maumbo 8. Hii ni 8 in 1....
Chat GPT4 imekuwa gumzo mjini...👨💻 Hizi hapa Tools 83 za AI ambazo Utahuzunika Kuchelewa Kuzifahamu…📢 Jifunze, kuwa smart, rahisisha maisha... RETWEET Wengi Wajifunze...🙏 🧵.....
UTAFITI WAONESHA KUKU ZA KISASA NI HATARI KWA AFYA 🛑 Kadri siku zinavyoenda mahitaji ya nyama na mayai ya kuku wa kisasa vinaongezeka. Kuna risk kubwa ya afya inayotokana na ulaj...
Ndugu, Wapo wana wengi wanatamani kuishi maisha yako. Na wewe wapo wengi unatamani kuishi maisha yao. 🧵kauzi kafupi... 👇 RETWEET Wengi Wajifunze... https://t.co/CsaefyS8za
NAMNA YA KUAGIZA MZIGO ALIBABA A-Z! Maswali yanayoulizwa zaidi na Majibu yake… PART III… 🧵TIME… 📢 https://t.co/17m4ec9W3I
KUELIMISHA WATU NI NJIA RAHISI YA KUUZA KULIKO KUWEKA MATANZGAZO…📢 Acha kutangaza kuwa MTAALAM na anza kuingiza kipato kupitia utaalam wako. ACHA kuwa mtupia matangazo na kuwa MT...
Kuna familia moja naijua ni ya wazee wa makamo. Wana watoto 4. Watoto 2 wa kwanza (me na ke) wote ni pangu pakavu. 2 wa mwisho ni mambo safi.Hao wa mwisho ndo waamuzi kwenye masual...