#TOTTechs

#TOTTechs

@TOTTechs

Jukwaa la washauri na wataalamu wa Teknolojia || 💻 Computers ||📱 Phones | Softwares | ICT Hardwares | ICT Security || Partnership with Kukeke Gang and L.M.S

Tanzania انضم Feb 2020
37
سلاسل التغريدات
1
عدد المشاهدات
47.9K
متابعون
42.5K
تغريدة

سلاسل التغريدات

Maswali yamekuwa mengi ni laptop ipi nzuri kwa video editing? Uzi mfupi, - Highlights Processor (CPU): Intel Core i7/i9 Latest Gen or AMD Ryzen 7/9. From 2.4GHz+ RAM: At least 1...

Sahau tena kuhusu tatizo la umeme kukatika iwe ofisini au Nyumbani. Team ya Wataalamu tunakuletea Automatic Power Backup. Backup itakuwa na Batteries, inverter pamoja na cables....

Fanya haya mambo 15 mara kwa mara kuilinda simu yako. 1. Tumia VPN uwapo kwenye Public Wi-Fi 2. Epuka kufungua Links ambazo huzijui. 3. Weka kikomo cha App Permissions kwenye sim...

CPU processor, RAM, ROM, video card, GPU graphics processor, motherboard, na power supply na kazi zake kwa lugha rahisi. Ka-uzi kafupi. Kwenye Moyo wa Computer kuna kajamaa ambak...

SABABU ZINAZOPELEKEA SIMU KULIPUKA. Hivi karibuni tumeona matukio ya simu kulipuka zikiwemo simu za Oneplus Nord 2, Galaxy Note 7 na baadhi ya simu ya nyingi zikiwemo simu kutoka...

Kujua ku-Google ni kati ya vitu vya muhimu sana ambavyo unatakiwa kuelewa, unahitaji kupata jibu sahihi kulingana na maulizo yako. Waliouliza kule DM ujuzi mbali mbali wa Ku-Googl...

MAKOSA 5 TUNAYOYAFANYA WAKATI WA KUCHAJI SIMU. Tumeona simu nyingi zinakufa betri (battery) kwa mda mfupi toka simu inunuliwe, hii inatokana na makosa ambayo tunafanya wakati wa k...

ADAPTER vs CHARGER Adapta na chaja ni vifaa viwili vinavyotumika sana ambavyo mara nyingi hutumiwa kwa kubadilishana (unaweza kusema adapter lakini umemanisha chaja). kuna tofaut...

FAHAMU NINI CHA KUFANYA SIMU YAKO INAPOINGIA MAJI Kuangusha simu kwenye maji au simu kuingiwa na maji inaleta huzuni sana Lakini cha muhimu zaidi ni "Utafanya nini baada ya simu...

Kuna mtu alituma ujumbe DM anataka tumsaidie kuchagua processor nzuri kati ya hizi. Intel Core i5-8600K na Intel Core i7-8700K Kwa niaba ya wengi, tunaweka ufafanuzi hapa. Kwan...

Kuna mtu aliuliza swali DM akajibiwa, ni vizuri kushare ili wote tupate maarifa. Swali: Je processor ya Intel Core i7 6700 (6th generation) ni nzuri kwa gaming? Jibu: Hiyo aina...

RIPOTI YA UKAGUZI WA MIFUMO YA TEHAMA: March 2023 MKAGUZI - CHARLES E. KICHERE Jumla ya Mifumo 40 ilikaguliwa, yalibainika mapungufu kadha wa kadha ikiwemo udhaifu wa taarifa, ud...