Kutafsiri, kuchakata na kutoa majibu ya maulizo au chochote unachokifanya kwenye computer, mfano ukitaka kufungua kitu flani ulizo lake litafika kwa bwana Processor na yeye ndiyo atajua ni kitu gani unataka kufungua au kufanya.
Processor inafanya kazi nyingi kwa wakati mmoja.

Halafu kuna Jamaa mmoja anaitwa RAM, huyu kazi yake kubwa ni kutunza taarifa za mda zinazohitajika kwenye CPU haraka (temporary storage space).
Ni kama ukiwa jikoni kuna counter/sehemu unaweka vyombo au vitu unavyovitumia kwa wakati huo, hiyo counter ni RAM.

Computer ikizima na hivyo vitu vinatoka au vinafutika kwenye RAM, ni kama ukimaliza kupika vitu vyako unavitoa.
Sasa kuna bwana ROM (Read only Memory) huyu anatunza vitu vyako kwa mrefu hata kama computer yako imezima, hii tunaita Storage (long term storage)

Wengi wanasema ukubwa wa computer kuhifadhi vitu (storage space), ni kama kabati lako jikoni kama lina uwezo wa kutunza vyombo vingi au vichache au namna linavyoweza kupangilia nyombo kama unaweza kuvipata kwa haraka ndiyo maana kuna SSD na HDD.
Kuna mabwana wanaitwa Video card na GPU Graphics Processor.
Hawa jamaa kazi yao kubwa ni kutengeneza hizo picha na video kwenye monitor yako (rendering images and videos).
Sasa hapa kama hawa jamaa wana nguvu wanaweza kutengeneza video nzuri zenye ubora.

Halafu kuna Motherboard.
Huyu ni kama mwandaaji wa sherehe, anakusanya watu waje sehemu moja, huyu ana-link vifaa vyote kama CPU, RAM, Video cards, etc sehemu moja na anahakikisha vifaa vyote vinafanya kazi kwa ushirikiano.
Kama ni sherehe yeye anatoa ukumbi.

Finally tuna Powe Supply.
Hata wewe unahitaji Chakula na maji ili uishi, na hivi vifaa vinahitaji umeme ili vifanye kazi.
Nani anahusika na kusambaza umeme kwenye vifaa ndani ya computer? Ndiyo huyu bwana Power supply.
Huyu asipofanya kazi basi kifaa chako hakiwaki.
END***

جاري تحميل الاقتراحات...