#TOTTechs

#TOTTechs

@TOTTechs

Jukwaa la washauri na wataalamu wa Teknolojia || 💻 Computers ||📱 Phones | Softwares | ICT Hardwares | ICT Security || Partnership with Kukeke Gang and L.M.S

Tanzania انضم Feb 2020
37
سلاسل التغريدات
1
عدد المشاهدات
47.9K
متابعون
42.5K
تغريدة

سلاسل التغريدات

MOST DOWNLOADED APPS 2022 Jarida la Apptopia limetoa list ya Apps ambazo zimepakuliwa kwa wingi 2022 kuanzia January 1, 2022 hadi December 20, 2022 1: TikTok 2: Instagram 3: What...

Uzi mfupi namna ya ku-repair corrupted disk drive ( Internal & External) Hard Disk iliyo-corrupt inaweza kurekebishika mara nyingi tunakutana na changamoto nyingi za Hard disk...

Unaweza kurudisha/recover taarifa au data zako baada ya ku-format hard drive ya computer yako, lakini kurudisha data zako hutegemea na aina ya Formatting uliyoifanya na mda ulioitu...

Mwaka 2022 ulikuwa ni mwaka wa ushindani mkubwa kwenye upande wa Teknolojia, pia ulikuwa mwaka ambao kampuni zimepoteza fedha nyingi kuliko kawaida. Kampuni za Google, Apple, Micr...

Kubadili CPU kwenye computer yako haina tatizo na computer inakuwa sawa tu. Kitu cha msingi na cha kuangalia pindi unabadili CPU ya computer ni cooling system, ukiweka CPU yenye T...

Kwanini CEOs na Co-Founders huchukua mshahara wa $1? Kuanzia kwa Elon Musk, Larry Page, Mark Zuckerberg, Bill Gates mpaka kwa Steve Jobs na wengi wengi, kwanini hawa rich CEOs na...

The rich don't pay taxes, (Matajiri hawalipi kodi) huwa wanatafuta njia ya kukwepa kodi kama. 1. Kujilipa mshahara mdogo au kutojilipa kabisa. 2. Kutomili assets nyingi kama majum...

@ally_ndimbo anaunda Technology ya blockchain ambayo itaunganisha shule kutoka shule za misingi mpaka vyuo vikuu, hii itaenda kufill gap la taarifa kamili kwamfano cheti cha kuzali...

GRAPHICS CARD Unachokiona kwenye computer/simu yako iwe picha/video au maandishi vimeundwa kwa dots ndogo ziitwazo Pixels, Screen yako huonyesha zaidi ya 2 million Pixels na zote...

Wakati huu tunapo kwenda likizo za sikukuu za Christmas na mwaka mpya, huwa ni muda mzuri kukaa na familia zetu, ndugu, jamaa na marafiki kutafakari mwaka ulivyokuwa na kujiandaa n...