#TOTTechs
Jukwaa la washauri na wataalamu wa Teknolojia || 💻 Computers ||📱 Phones | Softwares | ICT Hardwares | ICT Security || Partnership with Kukeke Gang and L.M.S
عرض في 𝕏سلاسل التغريدات
THREAD Quote tweet with your best answer 👇 1: Google Chrome or Ms Edge
Kama alivyosema @mafolebaraka IP Loggers ni programu ambazo zinarekodi kila matumizi ya kifaa chako uwapo online au mtandao, moja ya kitu kinachorekodiwa ni IP adress, na hizo taar...
Jana C.E.O wa TikTok Shou Zi Chew alikuwa akijibu maswali (shutuma) mbele ya bunge la Congress USA, maswali mengi yalilenga. • Kushare taarifa za raia za US na serikali ya China...
@airtel_tanzania wamezindua huduma ya eSIM yaani haina haja ya kuweka laini ya simu, ni kitu kizuri lakini si kila simu inauwezo wa ku-support eSim. Kwa iPhone inategemea na vers...
MABADILIKO MAPYA YA TWITTER NA UKWELI KUHUSU UTHIBITISHO WA NAMBA (2FA) kuazia March 20, 2023 Twitter watazuia utumiwaji wa namba za uthibitisho kwenye namba yako ya simu pindi uk...
Google Pixel 7 Faida kubwa inayopatikana kwenye simu za Google Pixel 7 Pro haiendi kwa Google bali inaenda kwa Samsung. Samsung anahusika kwa 51% ya vifaa vyote vinavyounda simu...
ChatGPT haiwezi replace Programmers, and it's not GAI (General Artificial Intelligence) ChatGPT na AI models zingine zimeundwa kusaidia Programmers na developers kwenye kazi zao,...
Mzigo umefika, ni wa moto sana. vitu vitatu vikubwa kwenye Phantom X2 vilivyoboreshwa na kuvutia watu wengi ni Camera system, Design na Software. Kitu kikuwa ni Camera, Phantom X2...
Ukitaka ChatGPT ikuletee majibu mazuri fanya yafuatayo • Hakikisha unakuwa Specific and direct kwenye swali lako, usiifanye AI kuanza kufikiria unataka nini. • Hakikisha unaeleza...
NJIA MPYA YA WIZI MTANDAONI. Umewahi kusikia hii ya kujipatia kipato unapo-like YouTube videos? iko hivi hawa jamaa wanakutumia sms kupitia WhatsApp wanajitambulisha wanatoka kam...
Linapokuja suala la kutafuta Gaming Laptop, au Laptop kwenye kazi nzito za Engineering, Graphic etc. Kitu cha kwanza ni graphic card, ili Apps au games siweze kufanya kazi bila sh...
Orodha ya Teknolojia za kisasa zinazofanya vizuri kwenye soko la dunia (Latest Technologies) • Artificial intelligence (AI) and machine learning (ML) - Hizi zinatumika kuchakata t...