#TOTTechs
#TOTTechs

@TOTTechs

7 تغريدة 12 قراءة Apr 10, 2023
Linapokuja suala la kutafuta Gaming Laptop, au Laptop kwenye kazi nzito za Engineering, Graphic etc.
Kitu cha kwanza ni graphic card, ili Apps au games siweze kufanya kazi bila shida "smooth and high-quality performance"
Chukua Laptop zenye dedicated graphics cards...👇
Mfano graphics cards za NVIDIA GeForce au AMD Radeon series, hizi zitakupa nguvu ya kutosha kwenye Gaming au Apps zingine kubwa na kwa resolution nzuri na ya juu.
Kitu kingine cha kuangalia ni Processor, hakikisha processor yako iwe na nguvu ku-support heavy games & programs
Kuangalia processor ipi nzuri lazima ujue ni aina gani ya Processor, kama ni Intel angalia upande wa Number of Cores, Generation yake, Clock speed, na kitu cha muhimu ni "Product line Suffix" mfano K, HQ, HK au X hizi zinapatikana kwenye Powerful Laptops
Kingine cha kuangalia nia RAM, kama RAM ni kubwa inasaidia kuzifanya programs zako zifanye kazi vizuri pasipo kusumbua mfano, kustack "run smoothly without any lag or stuttering"
Kingine cha kuangalia hasa kwa watu wa Gaming ni design ya Laptop yenyewe, Gaming Laptops
Zina design ya kipekee sana yaani siyo nzuri kwa kuangalia ila ni heavy duty machine, Ila kwa sasa wanaboresha zaidi, Laptops kama Dell XPS 15 au Lenovo Legion Y540 zinamuonekano mzuri ila zinafaa kabisa kuwa Gaming laptops
Kingine cha kuangalia ni Ubora wa Laptops
Vitu kama Cooling system, Highest Resolutions inabidi kuviangalia ili kuepusha computer kuchemka inaweza kusababisha mpaka kuunguza kama Cooling system yake ni mbovu,
Brands kama ASUS, Acer, MSI, Razer, Alienware na HP zinaongoza kutengeneza Gaming Laptops nzuri
Kama unataka Gaming Laptop ambayo ni Slim, yaani siyo nene sana ila bado inatoa high quality gaming performance nenda na hizi
Dell XPS 15, Lenovo Legion Y540, ASUS ROG Zephyrus, na Acer Predator Helios 300.

جاري تحميل الاقتراحات...