#TOTTechs
#TOTTechs

@TOTTechs

8 تغريدة 58 قراءة Mar 26, 2023
Kama alivyosema @mafolebaraka IP Loggers ni programu ambazo zinarekodi kila matumizi ya kifaa chako uwapo online au mtandao, moja ya kitu kinachorekodiwa ni IP adress, na hizo taarifa zinazorekodiwa zitaonekana kwa mtu aliyekutumia hiyo Logger, Loggers ni kama virus
Uzi mfupi👇
Mtu akishaipata IP address yako atajua taarifa zako nyingi ikiwemo
Sehemu ulipo (country/city)
Geo-information (Longitude & Latitude)
ISP ( mtandao unaotumia)
Country code
IP range
Aina ya simu
Browser
Etc
Ukichukua Geo-information ukaweka kwenye Maps unaona exactly location
Nini maana ya IP au IP Addresses.
Hii ni unique number ambayo hupewa kifaa pindi unapoingia kwenye mtandao, kila kifaa kinapewa namba unique na hizi hubadilika badilika kila unapoingia mtandaoni, ni kitambulisho chako mtandaoni.
IP Address haiwezi kuonyesha taarifa binafsi
Kama Jina, umri, dini, marital status etc.
Kiuhalisia huwezi ku-itrack, iko hivi IP Address ni namba ambayo unaipata mara moja tu na inabalika badilika, utakachopata ni taarifa tu za IP address husika kwa mda huo, ni kama unapokea barua utaona barua imetoka wapi, mhusika.etc
Sasa suala la @mafolebaraka ni kwamba utawezaje kujua mtu alipo kutumia IP loggers?
Cha kwanza unatakiwa kutumia IP trackers kutengeneza/generate short link, hiyo Link utabaki nayo wewe kama owner wa link.
Endapo mtu akifungua hiyo link, wewe utarudi kwenye
Browser ambapo umegenerate original link uta-refresh page na utaona Taarifa za mtu aliyefungua hiyo link, kama wamefungua watu zaidi ya 2 utaona taarifa zao zote ikiwemo Location na taarifa zingine.
IP tracker zipo nyingi ikiwemo Grabify IP Logger na Opentracker
Nitaeleza hii Grabify IP Logger,
Fungua Grabify,
Tafuta link yoyote unayotaka kumtumia mtu.
Copy Link na Upaste kwenye sehemu ya Paste Link
Click Generate Link
Utaona Link Information.
Nenda kwenye sehemu ya New URL
Copy na umtumie mtu unayehitaji kumtrack
Huyo mtu akishaclick hiyo Link akafungua, wewe huku utahitaji ku-refresh page tu utaona IP information za mhusika
Hata kama umewatumia watu wengi utaona taarifa zao, ukitumia computer utafaidi.
Kuna video ya ku-demostrate ila siwezi kuiweka
NB: Hii ni kwa ajili ya kujifunza

جاري تحميل الاقتراحات...