MABADILIKO MAPYA YA TWITTER NA UKWELI KUHUSU UTHIBITISHO WA NAMBA (2FA)
kuazia March 20, 2023 Twitter watazuia utumiwaji wa namba za uthibitisho kwenye namba yako ya simu pindi ukitaka
kuingia au kupata huduma flani kwenye akaunti yako ya Twitter..
Uzi 👇
#ElimikaWikiendi

Huduma hii inaitwa (SMS - based two-factor authentication) lakini itaondelwa kwa watumiaji wote ambao hawajajiunga na
Twitter blue, watumiaji wa Twitter blue huduma hii itaendelea kuwepo.
kwa sasa Twitter blue haipatikani Tanzania, labda utumie njia zingine

Two - factor authentication ni njia ya ulinzi kwa watumiaji wa akaunti za mitandaoni, kabla haujaingia/log-in kwenye
akaunti yako au kupata huduma flani kwenye akaunti yako, utatumiwa namba/codes za uthibitisho
#ElimikaWikiendi
akaunti yako au kupata huduma flani kwenye akaunti yako, utatumiwa namba/codes za uthibitisho
#ElimikaWikiendi
Hizo codes zinaitwa OTP (One Time Password) ambazo zitatumwa kwenye namba yako
ya simu uliyosajilia kwenye akaunti husika, hii inaongeza ulinzi kwenye akaunti yako. kwakua itahitaji kuthibitisha kama kweli mtu anayetumia akaunti ni mmiliki au au siyo mmiliki.

Wataalamu wengi wa ulinzi na usalama wamekosoa
hatua hii ikiwa 70% ya watumiaji wa Twitter hutumia njia hii kama sehemu ya kujilinda na wavamizi wa mtandaoni, wamesema ni kulazimishwa kulipia huduma ya ulinzi ambayo ni haki yako kuipata.

Wataalamu wengine wamesema ni heri huduma ya Twitter blue ingepatikana duniani kote ndiyo njia hii ya SMS 2FA iondolewe kuliko kuiondoa
ikiwa bado Twitter blue inapatikana sehemu chache tu duniani.
#ElimikaWikiendi
ikiwa bado Twitter blue inapatikana sehemu chache tu duniani.
#ElimikaWikiendi
Kwa sasa Twitter blue
inapatikana nchi za U.S, Canada, Australia, New Zealand, Japan, U.K, Saudi Arabia, France, Germany, Italy,
Portugal, Spain, India, Indonesia na Brazil, Twitter walisema wataendelea kupanua wigo zaidi.

KWANINI TWITTER WANAONDOA SMS AUTHENTICATION.
Kwa taarifa iliyotolewa na Twitter hivi karibuni inasema kampuni nyingi za watoa huduma hutumia
vibaya njia hii kwa kutuma sms/2FA codes zisizo na ulazima hivyo kupelekea Twitter kupoteza zaidi ya $60 Million
kwa mwaka.

Sababu kuu nyingine inasemekana watu ambao sio wema hufanya swim swap, yaani kujifanya
wamiliki wa namba yako hivyo pindi unapotumiwa hizo OTP codes huweza kuziona na ni rahisi kuingilia akaunti yako.
Hivyo SMS 2FA imeonekana ni njia isiyo na ulinzi imara.

Twitter wamesema usipotoa SMS 2FA mpaka march 20 wao wataizima hiyo huduma automatically, lakini hiyo haiwezi
kufanya namba yako kutolewa kwenye hiyo akaunti, bali watazuia utumwaji wa hizo codes za uthubitisho kwenye
namba yako.
#ElimikaWikiendi
kufanya namba yako kutolewa kwenye hiyo akaunti, bali watazuia utumwaji wa hizo codes za uthubitisho kwenye
namba yako.
#ElimikaWikiendi
NAMNA YA KUONDOA SMS-based two-factor authentication kwenye akaunti yako:
Nenda kwenye Settings & privacy > Security and account access > security > Two- Factor authentication
utaona chaguo la kwanza Text message, basi unaweza kuzima kile kitufe cha blue.

NJIA MBADALA ZA KUTUMIA
Ni muhimu kutambua kwamba, SMS-based two factor authentication siyo njia salama zaidi ya kulinda akaunti akaunti yako, SMS messages hazifichwi (Encrypted) hivyo namba zinazotumwa kama uthibitisho (OTP) huenda zikaonekana...

Kwa watoa huduma (Service providers) au kwa watu wabaya waliofanya Swim swap ya laini/sim card number yako. Hata hivyo ni njia rahisi zaidi na inatumiwa na watu wengi.
Tofauti na SMS authentication, kuna njia kuu mbili mbadala yake.
#ElimikaWikiendi
Tofauti na SMS authentication, kuna njia kuu mbili mbadala yake.
#ElimikaWikiendi
Njia ya kwanza ni kutumia Applications za uthibitisho kwa mtumiaji ( Authenticator Apps) na njia ya pili ni kutumia Physical security keys.
29% ya watumiaji wa Twitter hutumia njia ya Authenticator Apps na 0.5% ya watumiaji hutumia Physical security keys
#ElimikaWikiendi
29% ya watumiaji wa Twitter hutumia njia ya Authenticator Apps na 0.5% ya watumiaji hutumia Physical security keys
#ElimikaWikiendi
Nakushauri utumie Authenticator App, hizi Apps ni kama Google Authenticator, Microsoft Authenticator, Authy etc
Google Authenticator ni Apps nzuri na ni rahisi kutumia, inapatikana kwa Android na iOS.
#ElimikaWikiendi
Google Authenticator ni Apps nzuri na ni rahisi kutumia, inapatikana kwa Android na iOS.
#ElimikaWikiendi
Download na install kwenye simu.
nenda kwenye Settings za Twitter ili uiruhusu kutumika.
Kwa Twitter
Fungua Twitter app > Nenda Settings & Privacy > Security and account access > security > Two-Factor authentication, ruhusu chaguo la 2 "Authentication App"

Ukishafanya hivyo, kama una simu nyingine au computer, utahitaji ku-login kwenye account ya authentication App kupitia Web kisha bofya alama ya + itatengeneza QR code ambayo utahitaji ku-scan na akaunti yako, baada ya hapo italeta security codes za kuunganisha na hiyo App.
Lakini kama una simu yako tu, haina haja ya ku-scan QR code.
Fungua Twitter App, nenda Security and account access > security > Two Factor Authentication > ruhusu Authentication App
Itakutaka ku-scan QR code Bofya kwenye chaguo "Can't scan the QR code"

Ukibofya hapo, itakuletea Msimbo/codes zenye namba na herufi, unahitaji kuzinakili au copy kwa njia ya kawaida, kisha nenda kwenye authenticator App uliyo-download kwenye simu yako bofya alama ya + kisha chagua "Enter a setup key"
#ElimikaWikiendi
#ElimikaWikiendi
Itakuletea sehemu ya kandika "Account" na "Key"
Kwenye sehemu ya "Account" weka jina lolote hata jina lako
Sehemu ya "key" weka zile codes ulizokopi awali.
Kisha bofya "Add" italeta Jina lako uliloweka pamoja na Codes mpya, copy hizo codes nenda kwenye..

Kwenye Twitter App, bofya "Next" kisha weka hizo Codes na ubofye verify utaona inakubali na tayari account yako iko safi na ulinzi imara.
Baada ya hapo, utapokea namba ya kuthibitisha (Backup key) itunze hiyo namba itakusaidia endapo huna simu yako.
#ElimikaWikiendi
Baada ya hapo, utapokea namba ya kuthibitisha (Backup key) itunze hiyo namba itakusaidia endapo huna simu yako.
#ElimikaWikiendi
جاري تحميل الاقتراحات...