#TOTTechs
#TOTTechs

@TOTTechs

6 تغريدة Apr 10, 2023
Mzigo umefika, ni wa moto sana. vitu vitatu vikubwa kwenye Phantom X2 vilivyoboreshwa na kuvutia watu wengi ni Camera system, Design na Software.
Kitu kikuwa ni Camera, Phantom X2 ni simu ya kwanza kuja na Retractable portrait Lens..
soma 👇
@TecnomobileTZ #PHANTOMX2Series
Retractable portrait lens hii ni lens ambayo wakati wa kupiga picha inakuwa inazunguka au inapanuka kuchomoza kuelekea nje, yaani inaifata object, hii inatengeneza uwezo wa camera kuchukua details nyingi kwenye object pia inatoa more room kwa image information kusafirishwa..
Kuelekea kwenye Image Signal Processor (ISP).
Hii simu hata kama uki-Zoom bado itachukua picha nzuri yenye quality kutokana na uwezo wa hii retractable portrait zoom lens.
Main camera ina 50MP Samsung GNV sensor ambayo imetumika kwenye Google Pixel 7 Pro (Best smartphone)
HDR (High Definition Range) iko vizuri sana ikifanya kazi vizuri na ISP (Image Signal Processor) kwenye kuchakata picha.
Video Stabilization imeboreshwa mno, unaweza kuchukua video huku unakimbia na bado haiwezi kushake.
Kiukweli Camera System ni nzuri sana
Phantom X2 imetumia Dimensity 9000 Processor + 12GB RAM na 5,160mAH battery, Dimensity 9000 ni processor nzuri japo haiwezi kuifikia Currently new Snapdragon 8 gen 1 &2 ambayo ipo kwenye Top Flagships za sasa.
1080 × 2400 resolution , 500nits Brightness na 120Hz Refresh rates
Phantom X2 imetengenezwa kwa Vegan leather kwa nyuma, ni recycled materials kutoka Indian Ocean.
Kiukweli ni simu nzuri sana.

جاري تحميل الاقتراحات...