Quick Format maana yake hujafuta data kwenye disk ni umeondoa vitu vinavyoshikilia taarifa ili zisomwe kwenye disk drive.
Mfano, ili ifikie kitu flani lazima upitie njia flani kupata, so quick formatting ni umeondoa hiyo njia ila kitu kimebaki.
Ni rahisi kurecover hizo data.

Una-recover kwa kutumia specialized data recovery software.
Ila kama Formatting ni “Full Format” maana yake umefuta data zote kwenye drive na hii ina asilima chache sana kurudisha data zako.
Unatakiwa kujua kwamba kama umeformat computer yako na ukaendelea kutumia..

Kadri unavyoendelea kutumia ndiyo uwezekano wa ku-recover hizo data kwenye disks drive unakuwa mdogo sana.
Inashauriwa Uki-format computer usiitumie hiyo computer mpaka utakapofanya data recovery.
Data recovery inahitaji ujuzi na tools kwa ajili ya hiyo kazi, kuwa makini.

جاري تحميل الاقتراحات...