#TOTTechs
#TOTTechs

@TOTTechs

4 تغريدة 2 قراءة Apr 10, 2023
@ally_ndimbo anaunda Technology ya blockchain ambayo itaunganisha shule kutoka shule za misingi mpaka vyuo vikuu, hii itaenda kufill gap la taarifa kamili kwamfano cheti cha kuzaliwa Ally M ndimbo, cheti cha darasa la saba Ally Mussa Ndimbo, cheti cha form four Ally Ndimbo..
Cheti cha form six Ally Mussa Ndimbo, chuo Ally M Ndimbo. Ni watu wanne tofauti. Technology hii itaenda kusaidia kufill hii gepu kwa kuangalia na kuchakata taarifa kamili za wanafunzi.
Powered by techtube.live
Vile vile upande wa Kufoji vyeti technology hii itaenda kuziba mianya ya kazi hizo kwani kutakua na taarifa tangu mtu alipo anza shule hadi anapo maliza elimu yake na anakua na identity ilio kuwa encrypted. Vile vile kwa kuongezea
Technology hii itaweza kubashiri kazi ama kipaji cha mtu miaka 10-15 mbele kulingana na uwezo wake wa darasani. Ni kakitu fulani hivi.
Project on work …
Yeyote ana karibishwa on board.
Tembelea techtube.live ujifunze teknolojia mbalimbali kwa lugha ya Kiswahili.

جاري تحميل الاقتراحات...