Ambazo zilikuwa California, sababu kuu ni kodi, mda wa kuzihudumia na kuwa mkaazi maalumu wa sehemu flani, mfano yeye hataki kuwa mkaazi maalumu wa California anataka kuwa mkaazi wa Texas au Nevada kulingana na California kuwa na kodi kubwa, lakini pia asipomiliki nyumba hawezi
Kulipa kodi ya jengo, makaazi, etc sasa hawa smart guys kama Elon huwa wanatafuta namna bora ya kuzikwepa taxes. wanaona ni heri hizo kodi wangewekeza sehemu flani, maana hela zao nyingi zipo kwenye uwekezaji siyo cash, wana hela kidogo mkononi,(smart people are cash poor)
Sisi watu wa kati na maskini Ndiyo tunalipa sana kodi kuliko Matajiri,
“knowing how to legally avoid tax is more important than the amount of money you make.” In essence, tracking your taxes is more important than your income.
Kwa sasa almost kila kitu kinalipiwa kodi,
“knowing how to legally avoid tax is more important than the amount of money you make.” In essence, tracking your taxes is more important than your income.
Kwa sasa almost kila kitu kinalipiwa kodi,
Elon ni mtu anayependa kufatilia uwekezaji wake, aliona auze hizo nyumba ili zisimpotezee mda ili a-focus kwenye projects zingine hiyo ni sababu nyingine kwanini aliuza nyumba
Hili pia ni fundisho kwetu tunahitaji kusacrifice vitu visivyo na lazima ili kufocus na vya lazima
Hili pia ni fundisho kwetu tunahitaji kusacrifice vitu visivyo na lazima ili kufocus na vya lazima
Kwenye interview na Joe Rogan alisema alitaka kuwaaminisha watu kuwa Tajiri pia anaweza kuishi bila kumiliki vitu vya gharama kama majumba, magari etc.
Hivi karibuni ilisemekana Elon analala Twitter HQ ili apate mda mwingi wa kuijenga Twitter, kipindi cha nyuma aliishi Tesla HQ
Hivi karibuni ilisemekana Elon analala Twitter HQ ili apate mda mwingi wa kuijenga Twitter, kipindi cha nyuma aliishi Tesla HQ
جاري تحميل الاقتراحات...