Millambo®
I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to create converting content & sell high ticket offers.
عرض في 𝕏سلاسل التغريدات
YouTube ni Chuo kikuu Huria. Kuna mamilioni ya chaneli. Lakini 98% hawajui ma-Profesa waliobobea kutoka chuo hiki. Hizi hapa chaneli 10 zitakazoenda kubadili kabisa maisha yako:...
Mafunzo 22 Yatakayokupa Elimu ya Pesa, Maisha na Mafanikio Kuliko Digrii ya miaka 4. KUMBUKA: "Pesa Ni Roho" UZI. Repost Iwafikie Wana! https://t.co/1SkFlLnNdD
Kama una miaka 20... Na Upo Tanzania: Umechoka kusindikiza, Na... Unataka kumiliki biashara yako mwenyewe. Hizi hapa hatua 10 za kuanzisha biashara ya utaalamu, BILA Mtaji wala...
HIZI TABIA 10 ZITABADILI MAISHA YAKO - "UHAKIKA 💯" Ndani ya miezi 3 utakuwa mtu mpya. Hatua ndogo ndogo za kila siku ndio siri ya ushindi. REPOST Iwafikie Wana, Kisha twende k...
Ukizoea kufanya kazi kwa kutumia nguvu: - Utalipwa kidogo - Utalipwa mara 1 kwa mwezi. - Utafanya kazi siku zote za maisha yako. - Usipofanya kazi HULIPWI... 👇
TUAMBIE HAPA 👇 Una UWEZO/UJUZI/UZOEFU gani ambao tunaweza kukulipa kutusaidia maishani mwetu. Ninaanza mimi... 1. Mimi ninaweza kuchambua brand yako na kukushauri namna bora ya...
SHERIA 200 ZA WANAUME WA THAMANI 🦾 Wa-kiume wanazaliwa, Wanaume wanatengenezwa. REPOST Wengi Wajifunze! NB: - Nita-update huu mkeka mpaka zifike 200. Twende kazi. 1. Kama bad...
Njia sahihi ya kujifunza ni: Kusoma na kuzalisha. Kusoma na kujenga. Kusoma na ku-apply Kusoma na kuandaa bidhaa na huduma zako. USIPOTEZE MUDA WÁKO, Kusoma-Kukariri-Halafu-Nd...
Leo ni May O1 – Siku ya Wafanyakazi Duniani. Mambo 21 ya kujikumbusha kwa wafanyakazi, Kabla muda kwenda matiti. REPOST Ifike Mbali. 1.Wekeza kichwani mwako kuliko unavyowekeza...
NIMEBAINI: Hizi energy za jero jero zilizotapakaa mtaani kwa sasa zinanyweka zaidi na watu wanaojitafuta, watu wanaokomaa kusaka maisha. Humu utawapata bodaboda, wanafunzi, watu wa...
Kipaji cha kawaida na consistency ni bora zaidi kuliko kipaji kikubwa bila consistency. Huwezi kushindana na consistency. Kujaribu jaribu ni michezo ya kitoto. Consistency consi...
Kwenye kujitafuta, Jaribu vitu vingi ili kupata tobo lako: - Soma ujuzi nje na shule - Jifunze content creation - Tafuta wa kukuambia ukweli - Jifunze kuuza (chochote) - Jif...