Millambo®
Millambo®

@Millambo_

2 تغريدة 1 قراءة May 01, 2024
Kwenye kujitafuta,
Jaribu vitu vingi ili kupata tobo lako:
- Soma ujuzi nje na shule
- Jifunze content creation
- Tafuta wa kukuambia ukweli
- Jifunze kuuza (chochote)
- Jifunze kuongea na watu
- Kuwa mzalishaji na sio mlaji tu
Then,
- Consistency x3
#SIKU100ZAUHURU

جاري تحميل الاقتراحات...