Millambo®
Millambo®

@Millambo_

2 تغريدة 2 قراءة May 01, 2024
NIMEBAINI:
Hizi energy za jero jero zilizotapakaa mtaani kwa sasa zinanyweka zaidi na watu wanaojitafuta, watu wanaokomaa kusaka maisha. Humu utawapata bodaboda, wanafunzi, watu wa mjengo, mama mboga n.k. Kuna shida huko mbele.

جاري تحميل الاقتراحات...