Millambo®
Millambo®

@Millambo_

18 تغريدة 9 قراءة May 11, 2024
SHERIA 200 ZA WANAUME WA THAMANI 🦾
Wa-kiume wanazaliwa, Wanaume wanatengenezwa.
REPOST Wengi Wajifunze!
NB: - Nita-update huu mkeka mpaka zifike 200.
Twende kazi.
1. Kama bado unajitafuta, usiwekeze kwenye mapenzi.
2. Ogopa na acha mazoea na mwanamke wa ndugu yako. Ni kujitafutia matatizo yasiyo na maana tu. Mind your business. Sio kutwa kujichekesha na shemeji zako.
3. Ukichagua kuwa simp, ukweli ni kwamba utachezea siku sio nyingi na yowe lako litasikika na kishindo kikuu.
4. Kama bado unajitafuta, saidia kwa machale. Jijenge kwanza. Huwezi kusaidia kama huwezi kujishikilia mwenyewe.
5. Wekeza zaidi kichwani kuliko unavyowekeza kwenye kazi yako ya kuajiriwa.
6. Ogopa mke wa mtu. Usitembee na mke wa mtu. Watakuua na tutakutumia kama mfano.
7. Usiwe mtu wa kuamua kwa hulka na hisia. Think. Mwanaume nayetawaliwa na hisia ni mtu dhaifu. Na hisia zake zitatumika kumchapa.
8. Mwanaume epuka sana kufanya maamuzi kwa kuongozwa na kichwa kidogo. Wanaume wa namna hii hushughulikiwa vibaya na kupoteza kila kitu.
9. Jitenge na porn na punyeto. Zinakunajisi. Uliumbwa kujihusihs na mwanamke. Kama huwezi kaa kiseja na semen retention. Raha nyepesi zinakufanya kuwa na akili fupi.
10. Epuka raha nyepesi - kununua malaya, kunywa soda, pombe na energy, kushinda mitandaoni, kuzoea vya bure na kuwa entitled.
11. Kwa usalama wako na amani ya moyo, hakikisha unamzidi mwanamke wako fedha, elimu na hadhi. Ukichemka komaa ku-balance mzani. Sio kwamba wanawake wote wana shida. Hapana, umeumbwa kuwa kiongozi, ukiukosa uongozi utakosa amani.
12. Jitahidi kufanya jambo ukiwa na hisia na mzuka wa juu sana. Hisia ni kila kitu kwenye mafanikio. Unapokuwa na hisia za juu utafanya kitu kwa moyo na passion. Usiache jambo lipoe.
13. Mwanaume anayempiga mwanamke ni mtu dhaifu. Umeumbwa kuongoza. Weka misingi na sharia za kufata. Ishi kwa mfano. Akisumbua, mwadhibu kitaalam. Usinyanyue mkono kumpiga, ni udhaifu. Ukiona unafika huku, mrudishe kwao.
14. Ukilazimika kuwa kwenye mahusiano, tafuta mwanamke ambaye ni emotional independent. Epuka kuwa na mtu ambae anategemea kuwa na furaha kupitia matendo yako. Ni mzigo na utumwa.
15. Uimara wa mwili ni tunu kwa mwanaume. Nenda gym. Jenga mwili wako. Mwanaume kuwa imara. Itakupa confidence zaidi, itakupa mwonekano bora na afya timamu kwa ujumla.
16. Walk the talk - daima sema unachomaanisha na ishi maneno yako. Hii itakupa mamlaka na imani kuwa unachofanya kina maana. Wengi watafata wakiona kwa vitendo. Usifake.
17. Pesa sio kila kitu kwenye maisha. Lakini pesa itanunua 98% ya vitu. Pesa itamaliza 98% ya matatizo yako. Don't be fooled, isake pesa usiku na mchana. Ufukara ni utumwa.
Hii ni series ya Kwanza.
Tutakipiga mpaka 200.
Endelea kufatilia ukurasa huu.
Follow @millambo_
Kujifunza zaidi:
1. WhatsApp - Save Number yangu
wa.me
2. Telegram yetu ya bure:
t.me
#SIKU100ZAUHURU

جاري تحميل الاقتراحات...