Millambo®

Millambo®

@Millambo_

I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to create converting content & sell high ticket offers.

Dar es Salaam, Tanzania t.co انضم May 2015
324
سلاسل التغريدات
0
عدد المشاهدات
26.5K
متابعون
34.5K
تغريدة

سلاسل التغريدات

Ilinichukua zaidi ya miaka 5 kujifunza na kujenga nidhamu. Sio rahisi lakini ukijizatiti utabadili maisha yako ndani ya muda mfupi. Hii hapa misingi 7 ninyoiishi - iishi nawe kub...

Moja Ya Ushauri Bora Zaidi Mtandaoni Ni Huu Hapa👇 Fanya Wanayofanya, Usifanye Wanayokushauri 🤔 Kumekuwa na upotoshaji mwingi kwenye masuala mengi kwa vijana. Kuna mengi usiyoyaj...

Ukisituka umepoteza mwelekeo fanya hivi 🧠 1. Punguza spidi ya maisha 2. Tafakari amsisha yako 100% 3. Tafuta unayofanya kila siku na hayana faida. 4. Ondosha kila ujing unaofan...

Kila mtu na kitu ambacho kuna wengi wapo mahali wanakitafuta ili kulipia. Niamini mimi, hicho unachokiona cha kawaida, wengi watalipa pesa nzuri. Maarifa unayoona ya kawaida, ku...

Hakuna wa kushindana na wewe & Huwezi kufeli kama: 1. Utaishi kwa misingi. 2. Utatimiza wajibu wako kila siku. 3. Ishinde hofu na tenda kila siku. 4. Fanya tathimini ya maendel...

Kwenye Maisha Huhitaji Kujua Kila Kitu. KAMA HUPATI MAJIBU: Usiogope. Usijishughulishe na namna ya kufanikiwa. Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha unachora picha kichwani kuhu...

HAIJALISHI: Wewe ni fundi makenika Uwe ni mpishi Uwe ni mtu wa bustani Uwe ni mwalimu Uwe ni mhasibu Uwe ni mwanasheria Coach wa mazoezi n.k Vyovyote vile, Una nafasi ya...

KUMBUKA: Ili kutoboa kwenye maisha unahitaji kujikataa, kujikana na kujiambia ukweli pale ambapo unazingua. Unahitaji kubadili fikra zako, matendo yako, tabia zako na mienendo y...

Watu wengi wamepoteza DIRA ya maisha, Mbaya zaidi hawajui shida inaanzia wapi 🧠 Leo nashare siri 7 zilizonisaidia kubadili maisha yangu... Baada ya kusoma barua hii utakuwa umej...

TABIA 5 ZA KUBADILI MAISHA YAKO KWA 99% 🧠 Umewahi kusikia wakikuambia matatizo ni mtaji? Naam, Kila binadamu ana matatizo yake. Namna unavyochukua hatua kuyatatua ndipo tofauti...

Mambo 05 Yanayokutweza na Kuua Uwezo Wako wa Ndani 🧠 Ili uweze kufikia mafanikio makubwa, Mtu anatakuwa kukua kila siku na kuwa na mchango mkubwa kwenye maisha ya wengine. Kwenye...

UNAWEZA KUDHANI UMEROGWA 😷 Kama wewe una DALILI hizi HUTOBOI👇 Soma na uchukue hatua kabla kujachelewa... Bookmark na Repost Iwasadie Wengi! ✔️ Ukitaka kufanya jambo kuna KISAUT...