Millambo®
Millambo®

@Millambo_

11 تغريدة 7 قراءة Jul 18, 2024
Kama una miaka 20... Na Upo Tanzania:
Umechoka kusindikiza, Na...
Unataka kumiliki biashara yako mwenyewe.
Hizi hapa hatua 10 za kuanzisha biashara ya utaalamu,
BILA Mtaji wala Uzoefu 💯... 👇
1. Chagua niche (mahusiano, afya, pesa)
2. Chagua hadhira ya kuwasaidia
3. Unda akaunti X na anza kushare madini.
Ikikolea ongeza mtandao.
4. Jifunze copywriting, content creation, kuuza, kuunda bidhaa za digital na ujuzi mwingine wa lazima.
5. Unda bidhaa zako (digital products)
7. Toa ofa ya kufa mtu.
Ofa kama ya boss kalewa.
8. Over deliver kwenye thamani. Always.
9. Focus kuwa bora na wa msaada zaidi.
10. Njoo utoe ushuhuda na fungu la 10.

جاري تحميل الاقتراحات...