Epuka picha za ngono;
Kuepuka picha za ngono na kujichua kwa siku 7-14 kutaboresha kiwango cha testosterone na hamu ya ngono na itaongeza ubora wa uume wako.

Fanya mazoezi; Kufanya mazoezi ya cardio mara kwa mara huimarisha afya ya moyo wako na mtiririko wa damu. Mtiririko bora wa damu husababisha uume kuwa imara zaidi.
Anika korodani; Kupata mwanga wa jua kila siku kwa dakika 60 huongeza kiwango cha testosterone, hivyo kuongeza ubora wa tendo la ndoa na kuimarisha uume.
Pata madini ya Zinc;
Upungufu wa zinki husababisha kiwango cha chini cha testosterone. Pata dozi ya 25mg kwa siku ili kuongeza kiwango cha testosterone na kuboresha uume.

Punguza unywaji pombe;
Kunywa pombe hupunguza kiwango cha testosterone, huongeza kiwango cha estrogeni, na kupunguza idadi ya manii.

Tumia Tongkati Ali; Tongkati Ali huongeza kiwango chako cha testosterone huru kwa 100-200. Pata dozi ya 400mg kwa siku ili kuongeza kiwango cha testosterone na kuimarisha uume.
Punguza uzito;
Seli za mafuta hupunguza kiwango cha testosterone mwilini. Weka asilimia ya mafuta mwilini kati ya 10-15% kwa viwango bora vya testosterone.

Pata usingizi wa kutosha;
Kupata usingizi kidogo = testosterone kidogo Lala kwa masaa 7-8 usiku kwa kiwango kikubwa cha testosterone na uume imara zaidi.

Mwisho
Mwanaume hakikisha unalinda afya yako ya uzazi kwa kuzingatia hatua hizo hapo juu.
Asante kwa kufuatilia somo hili usisahau kunifollow @FJinyami kwa habari za afya zaidi.

جاري تحميل الاقتراحات...