1. Mazoezi mara 3 kwa wiki
2. Tembea hatua 10,000 kila siku
3. Funga kwa masaa 16 mpaka 24
4. 80% kula chakula cha nyumbani
5. Pata mwanga wa jua dk 30 kila siku
6. Kunywa Lita 2-3 za maji
7. Lala Masaa 7 -8 usiku
8. Punguza kalori 500 kila siku
2. Tembea hatua 10,000 kila siku
3. Funga kwa masaa 16 mpaka 24
4. 80% kula chakula cha nyumbani
5. Pata mwanga wa jua dk 30 kila siku
6. Kunywa Lita 2-3 za maji
7. Lala Masaa 7 -8 usiku
8. Punguza kalori 500 kila siku
9. Acha kunywa soda
10. Anza kupika mwenyewe
11. Kula chakula kisichokobolewa
12. Panga ratiba ya chakula kila wiki
13. Punguza au acha pombe
14. Ondoa junk food kwenye meza yako
15. Protini 1g Kwa kila kilo ya mwili wako
16. Kama hupungui uzito, bado hujapunguza kalori

17. Kunywa maji kila baada ya chakula
18. Huna njaa, unahitaji kupumzika tu.
19. Hutakiwi kula kwa sababu muda umefika
20. Pima kilo zako kila wiki
21. Cardio sio lazima
22. Kama unakula, Pendelea protini kwanza
23. Ukianguka mara moja amka chap rudi kwenye lishe.

24. Ni rahisi kutokula karoli kuliko kuziondoa kwa mazoezi.
25. Epuka mafuta ya mbegu
26. Snacks zinakwamisha maendeleo
27. Salad ni bora kwako.
28. Zingatia kiwango cha mafuta ya kupikia
29. Ukiwa na misuli zaidi, utapunguza mafuta zaidi.
25. Epuka mafuta ya mbegu
26. Snacks zinakwamisha maendeleo
27. Salad ni bora kwako.
28. Zingatia kiwango cha mafuta ya kupikia
29. Ukiwa na misuli zaidi, utapunguza mafuta zaidi.
30. Mara nyingi unazohisi una njaa, unakuwa na kiu tu.
31. Protini itakushibisha sana kula kwanza.
32. Punguza 1% ya mafuta kila wiki.
33. Usinywe vinywaji vyenye calories.
34. Unachofanya weekend ni muhimu kuliko unachofanya siku za kawaida.
31. Protini itakushibisha sana kula kwanza.
32. Punguza 1% ya mafuta kila wiki.
33. Usinywe vinywaji vyenye calories.
34. Unachofanya weekend ni muhimu kuliko unachofanya siku za kawaida.
Kama unahitaji program zifuatazo zipo kwa Gharama nafuu
โขKupunguza uzito & kitambi
โขKuongeza mwili, Good BMI
โขMatatizo ya Nguvu za kiume & kuathirika na punyeto
SAVE UZI KWA BAADAE, Kama umejifunza kitu kipya follow @ommyfitness Turn on notifications post
MWISHO..!!

ุฌุงุฑู ุชุญู ูู ุงูุงูุชุฑุงุญุงุช...