Mfalme 👑🇹🇿
Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

10 تغريدة 56 قراءة Apr 01, 2023
HATUA 8 KUPATA MASHINE KUBWA NA IMARA
UZI 🧵 Mfupi Sana
1. Epuka Porno & Punyeto
Acha kuangalia porno & kujichua kwa siku 14 Kutaongeza testosterone ya hamu ya Tendo & Uume kuwa imara
2. Fanya Mazoezi ya Cardio
Itaboresha Afya ya Moyo na Mtiririko mzuri wa Damu. Mfano kukimbia
Njoo DM, na Vocha nikutumie Mazoezi hayo
3. Mwanga wa Jua kila Siku
Kwa dakika 60 huongeza Testosterone, inayopelekea Tendo Bora na Kusimama Imara
Jianike Mwanangu, Bosi akikuuliza Mwambie Mfalme kasema..✊
4. Mbegu za Maboga
Kula Hizo Mbegu Zina Madini Mengi ya Zinc, zinaongeza testosterone
Zinc ni kila kitu Kwa Mwanaume, kula sana Tikiti & tafuna Sana Mbegu zake
5. Epuka Pombe
Ulevi upelekea kushuka Kwa testosterone, na Huchochea Homoni za kike Kukua & Hupunguza uzalishaji wa Mbegu
6. Punguza Uzito
Natamani kila mtu ajue Umuhimu wa kuwa na Uzito wa kawaida na Umuhimu wa testosterone
Mwili wako unatakiwa uwe na Mafuta kati ya 10 -15% , ili kuwa na testosterone ya juu.
Kama una Uzito Mkubwa, Njoo DM Tuma "Program ya Kupungua"
7. Usingizi Bora
Niliwahi kusema Bora usile ila sio kukosa Usingizi
Usingizi Mdogo= Testosterone ndogo
Lala Masaa 7-8 Usiku, Kuongeza Testosterone na kusimamisha Imara
8. Msaada
Nafahamiana na Madoctor wabobevu kama @Gaspinho15 watakusaidia
Ili kuokoa Muda nipe Hi, Kisha Endelea kunielezea shida yako Moja kwa Moja, nitachuja kama naweza kukusaidia Mimi au nikupeleke Kwa Daktari
Usinifiche, Siri zako Ziko sehemu Salama.
Nifollow @ommyfitness
Kwa Video za Mazoezi Follow Me;
Tafadhari Subscribe YouTube
youtu.be
TikTok;vm.tiktok.com
Instagram;instagram.com
Facebook page ; facebook.com

جاري تحميل الاقتراحات...