Digital Nomad ( YT @mafolebaraka)
Content marketer @greyfinance @greyfinanceea I Programs & Partnership manager @nocodetz I Building @jukwaaafrica. My Youtube 👇
عرض في 𝕏سلاسل التغريدات
Incase umemaliza chuo hivi karibuni thread hii itakufungua namna ya kupata internship ama kazi za remote. NB: Bookmark, save na mtumie mhitimu yeyote unayemfahamu asome kwa muda w...
Fastest Growing skills in 2024: According to Upwork Indemand skills 2024 report 1. Data Science & Analytics Generative AI Modeling Machine Learning Data Analytics 2. Coding & W...
Njia nyepesi ya kuingiza usd 1000+ {Tsh 2M+} kwenye freelancing platforms Part 2 - Digital Marketing Disclamer : Thread hii ni ndefu sana hakikisha una chakula ama kinywaji p...
Njia nyepesi ya kuingiza usd 1000+ {Tsh 2M+} kwenye freelancing platforms Disclamer : Thread hii ni ndefu sana hakikisha una chakula ama kinywaji pembeni ukiwa unasoma.
Machache niliyojifunza kwenye kazi za remote na kufanya freelancing. Thread
Mwaka jana nilipokea ofa mbili kuwa za kazi {Full remotely} na gigs kadhaa za local na kimataifa. Thread hii inaeleza namna gani unaweza attract global brands kufanya kazi na wew...
Kuna site inaitwa digital skill tutor, Inamadini mengi sana kuhusu freelancing Link kwenye comment
Mimi ni mtumiaji mkubwa sana wa tools, Natumia tools kwenye masuala yangu binafsi na yahusuyo kazi . Leo ngoja nikuandikie tools ninazozitumia zaidi kwenye simu yangu, Btw nyingi...
Subtitling ni moja ya mchongo unaoweza kuanza kuuza kwenye freelancing platforms. Probably usiku mmoja unaweza kumaster namna ya kufanya subtitling especially kama una digital lite...
Incase unapenda kutumia tools mbalimbali za kidijiti kufanya shughuli mbalimbali basi hii thread ni kwa ajili yako Hapa nitaorodhesha tools 30+ za kuongeza productivity yako kama...
Youtube hailipi kwa views bali kwa matangazo. Inaweza kufika hadi $3k+ kama matangazo yatamfikia kila viewers. Kuna methods kama tatu zinazo-determine mapato yako kulingana na uch...
Jana nilialikwa na @AfroSheFound pamoja na @jukwaaafrica kuzungumza kuhusu kazi za Remote. Na hii ni thread ndefu ya nilichokizungumza. Shuka nayo