#ElimikaWikiendi

19 سلاسل التغريدات

Swala la kujiajiri ni swala ambalo limekuwa likizungumzwa kwa kipindi kirefu na wadau mbali mbali wa sekta za maendeleo Hata hivyo changamoto ya mitaji Imekua ni Tatizo kubwa Kwa...

#ElimikaWikiendi UJUE UKWELI KUHUSU FOREX TRADING Najua utakuwa ushawahi kusikia kuhusu forex trading hususani kwa namna watu wanavyotengeneza pesa nyingi Wanaita kudownload do...

#ElimikaWikiendi Turudi nyuma kidogo kabla ya Vita ya kwanza ya Dunia Na jinsi Marekani alivyoutapeli ulimwengu baada ya vita ya pili ya Dunia na kuchangia kwa kiasi kikubwa uku...

Fursa 10 zinazoweza kubadilisha maisha yako mtandaoni: Uzi 👇🏾🧵 #ElimikaWikiendi 🖼️ courtesy https://t.co/XbwklxSVzB

SABABU ZINAZOPELEKEA SIMU KULIPUKA. Hivi karibuni tumeona matukio ya simu kulipuka zikiwemo simu za Oneplus Nord 2, Galaxy Note 7 na baadhi ya simu ya nyingi zikiwemo simu kutoka...

Shisha (sheesha/hookah) ni kifaa kinachotumiwa kuvuta tumbaku yenye ladha. Kwa kawaida huwa na bomba la maji lenye bakuli ambapo tumbaku yenye ladha huwashwa na moshi hupitishwa kw...

When it comes to Kampuni/Biashara na Mchakato wa Tender. Ina nikumbusha 2021. Kwenye conference I met this lady in a red dress, her name Janneth. Kwenye maongezi she asked. "Un...

JINSI UNAVYOWEZA KUTUMIA FURSA ZA MTANDAONI KUTENGENEZA PESA UKIWA NYUMBANI Mwaka 2021 nlichomoka kwenye ajira na kuanza kujitafuta online, . . . Short story . Twende 👇 https://t....

MAKOSA 5 TUNAYOYAFANYA WAKATI WA KUCHAJI SIMU. Tumeona simu nyingi zinakufa betri (battery) kwa mda mfupi toka simu inunuliwe, hii inatokana na makosa ambayo tunafanya wakati wa k...

Karibuni #ElimikaWikiendi kuangazia maisha baada ya kumaliza chuo. Walengwa ni vijana ambao ndio kwanza wanaingia mtaani baada ya chuo na wale walioko mtaani tayari. Nafundisha...

Blogging ni moja ya biashara nzuri sana endapo utaifanya kibiashara, na sio kama burudani "Hobby". Kuanzisha blogu ni hatua muhimu ya kufikia malengo yako ya kifedha na kufurahia...

Karibuni sana kwenye #KipindiMaalum #ElimikaWikiendi kuzungumzia, japo kwa ufupi, zile tabia zinazotutesa na tunapambana kuziacha. Wasionifahamu nafundisha #Ushunuzi (Psychology)...