Ndahani N. Mwenda
Entrepreneur, Businessman, Financier, Investor, Author & Humanitarian #ProudlyTanzanian
عرض في 𝕏سلاسل التغريدات
UTT-AMIS ni kitu gani haswaa? Ni kampuni ya uwekezaji/upatu? Nikiwekeza pesa zangu kwao zitakuwa salama kwa kiasi gani labda kwamfano? Nitapata faida kiasi gani nikiwekeza? Kuj...
Mfuko wa UTT-AMIS ndiyo Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa kwanza TZ. Mwaka 2005 walianzisha Mfuko wa Umoja kwa kuuza kipande kimoja kwa TZS 100/- UTT-AMIS ina mifuko sita (6) amba...
Kwanini Biashara nyingi hufa mapema mara baada ya kuanzishwa? Hizi ndiyo baadhi ya sababu! #ElimikaWikiendi https://t.co/J3zQYaEJZo
Je, unaweza kukadiria na kujua ni kwa kipindi gani uwekezaji wako unaweza kuwa 2x ya ulichowekeza? ~ Luca Pacioli (1455-1517) Baba wa Uhasibu aliasisi 'Rule of 72' ambayo hutumika...
Faida ya kuwekeza kwenye hisa siyo lazima iwe gawio tu. ONGEZEKO LA MTAJI ni faida mojawapo! ~ 24 Jan 2023 hisa moja ya CRDB ilikuwa inauzwa TZS 380/- tu! ~ 24 Machi 2023 hisa il...
Siyo tu kwenye Kikapu, Kobe Bryant alikuwa na jicho la kuona fursa! ~ 2014 alinunua 10% ya hisa za kinywaji cha BodyArmor kwa $ 6m! ~ 2018 Coke wakaja kununua hisa kidogo za Body...
Kupitia hiki kitabu utajifunza mengi ambayo huyajui kuhusu mafanikio. ~ Kuna tofauti kati ya kuwa na elimu ya fedha & akili ya fedha. ● Rich Fuscone vs Ronald Read ~ Utajiri h...
Kwanini hisa zinapanda/kushuka bei? 1. UHITAJI & UPATIKANAJI, Wawekezaji wengi wanapokuwa wanazihitaji hisa huwa zinapanda bei na pale ambapo kunakuwa hakuna wanunuzi hushuka bei....
Wengi wakiona navyo-tweet hapa wananiuliza namna ya kuwekeza kwenye hisa, LAKINI naomba niwaambie machache.. ◇ USIKURUPUKE kuwekeza kwasababu umeona ninahamasisha hapa Twitter. ◇...
Tukisema utajiri upo kwenye hisa muwe mnasikiliza na kuelewa! ☆ 1996 CRDB Bank ilivyobinafsishwa iliuza hisa moja kwa TZS 10,000 tu! ☆ 1998 ikaongea hisa 2 kwa kila hisa 1, zikaw...
Unapotaka kuwekeza kwenye hisa unaweza jiwekea MALENGO YA MUDA MFUPI ama ya MUDA MREFU. Kwa muda mfupi, unaweza nunua hisa zikiwa 'IPO' baada ya hisa kuorodheshwa hupanda bei kabl...
Kati ya vitabu bora nilivyowahi kusoma ni pamoja na THE RICHEST MAN IN BABYLON chake George Clason alichokiandika mwaka 1926. Ameeleza kanuni 5 (Five Laws of Gold) za kulinda fedh...