Mfuko wa UTT-AMIS ndiyo Mfuko wa Uwekezaji wa Pamoja wa kwanza TZ.
Mwaka 2005 walianzisha Mfuko wa Umoja kwa kuuza kipande kimoja kwa TZS 100/-
UTT-AMIS ina mifuko sita (6) ambayo thamani yake ni zaidi ya TZS 1.5trl kufikia 16 Juni 2023! #AskMwenda
Mwaka 2005 walianzisha Mfuko wa Umoja kwa kuuza kipande kimoja kwa TZS 100/-
UTT-AMIS ina mifuko sita (6) ambayo thamani yake ni zaidi ya TZS 1.5trl kufikia 16 Juni 2023! #AskMwenda
Kwenye kitabu cha Bora cha HISA NA HATIFUNGANI pia uwekezaji kupitia UTT umeelezwa. Pata nakala yako kwa bei ya ofa ya TZS 20,000/- tu!
Piga simu 0714-779-627 kupata maelezo zaidi! #AskMwenda
Piga simu 0714-779-627 kupata maelezo zaidi! #AskMwenda
Kwa mara ya kwanza wakati Mfuko wa Umoja ama 'Umoja Fund' wakati unaanzishwa, kipande kiliuzwa TZS 100 lakini Serikali ilitoa ofa kwa kuwauzia Watanzania kwa TZS 70.
Sasa kufikia sasa kipande hiko kinauzwa TZS 925/- #AskMwenda
Sasa kufikia sasa kipande hiko kinauzwa TZS 925/- #AskMwenda
Thamani ya Mifuko iliyo chini ya UTT!
Umoja Fund - TZS 319.58bn
Wekeza Maisha - TZS 9.03bln
Watoto Fund - TZS 10.58bn,
Jikimu Fund - TZS 19.96bn
Ukwasi/Liquid - TZS 725.9bn
Bond Fund - TZS 423.69bn
#AskMwenda
Umoja Fund - TZS 319.58bn
Wekeza Maisha - TZS 9.03bln
Watoto Fund - TZS 10.58bn,
Jikimu Fund - TZS 19.96bn
Ukwasi/Liquid - TZS 725.9bn
Bond Fund - TZS 423.69bn
#AskMwenda
Unapowekeza kupitia UTT jua tu kuwa unawekeza kwenye hisa & hatifungani kwani wao hukusanya fedha na kwenda kuwekeza huko na faida ambayo huipata na kugawana na wawekezaji. Wana wastani wa kutoa riba ya 12% mpaka 14.5% kwa mwaka kulingana na uwekezaji wako.
#AskMwenda
#AskMwenda
Katika mifuko yote sita, kila mfuko una Sera yake na Meneja anayeuendesha, hivyo uwezekano wa kupoteza fedha kupitia UTT ni mdogo sana kwani wanao wataalam ambao husimamia mifuko kwa uangalifu! #AskMwenda
Kila mfuko umetengenezwa mahsusi kulingana na mahitaji ya kila mwekezaji. Kima cha chini cha kununua vipande vya mfuko wowote ni vipande 10. Wawekezaji binafsi, Vikundi, kampuni ama taasisi zinaruhusiwa pia kuwekeza kupitia UTT! #AskMwenda
Uwekezaji wa Pamoja unatoa fursa kwa watu ambao wana kipato kidogo kuweza kuwekeza kwenye masoko ya mitaji kwani huhitaji kiasi kidogo cha kuanza kuwekeza. Kwamfano, unaweza kuanza kuwekeza kupatia UTT kwa TZS 5,000/- #AskMwenda
جاري تحميل الاقتراحات...