Ndahani N. Mwenda
Entrepreneur, Businessman, Financier, Investor, Author & Humanitarian #ProudlyTanzanian
عرض في 𝕏سلاسل التغريدات
Faida za Kuwekeza Kwenye Hisa! ■ GAWIO - Ni sehemu ya faida ambayo kampuni hutoa kwa wawekezaji. Ndiyo faida ya kwanza ambayo wawekezaji wengi huipenda wanapowekeza. ■ ONGEZEKO L...
Wengi huuliza, ni vitu gani muhimu vya kuzingatia napochagua hisa? Vipo vingi, lakini Warren Buffett anashauri kuzingatia zaidi viashiri vikuu vitatu (3) tunapochagua kampuni/hisa...
Mwaka 1720, Isaac Newton alipoteza £ 20k kwenye hisa Mwaka 1998 washindi wawili wa Tuzo ya Nobel katika uchumi Myron Scholes (PhD) & Robert Merton (PhD) walipoteza $ 2bn kwenye s...
Nini maana ya Soko la Hisa? Soko la Hisa, ni mahali ambapo kampuni huuza hisa zake kwa kufuata kanuni & taratibu. Ni mahala ambapo wenye biashara na wenye mitaji hukutana kubadi...
24 Feb 2021 niliweka oda ya hisa 10k za CRDB kwa TZS 200/hisa. Baada ya siku chache zikapanda hadi TZS 215/- SIKUNUNUA! TZS 2m yangu ikarejeshwa kwenye akaunti, sijui hata nilifa...
Tofauti kati ya hisa na hatifungani. HISA - Ni sehemu ya umiliki wa biashara/kampuni. Unaponunua hisa za kampuni unakuwa ni mmoja ya wamiliki wa hiyo kampuni husika. HATIFUNGANI...