Mfalme 👑🇹🇿
Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

2 تغريدة 18 قراءة May 07, 2024
Huu ukweli unauma hatari, yaani hata kuusoma unaogopaga sometimes.
Mwanamke ana sababu nyingi sana za ku-Cheat tofauti na Mwanaume kwa sababu tu MWANAMKE ANATAKA VITU VINGI KUTOKA KWA MWANAUME MMOJA.
Mwanamke atataka:
- Pesa.
- Watoto.
- Muda wako.
- Ucheshi wako.
- Upendo wako.
- Umridhishe kitandani.
- Makazi ya maana.
- Mavazi.
- Matunzo ya kila aina n.k
Hapo bado msururu wa mahitaji unaendelea, shida inakuja pale ambapo Mwanaume akiwa na hiki anakosa kile. Hapo ndipo changamoto inapoanzia:
- Ukiwa na Pesa basi Kitandani Zero.
- Ukiwa vizuri kwa Bed basi Pesa huna.
- Ukiwa na Pesa, Good Kitandani basi Muda naye huna.
- Ukiwa na Muda na Pesa basi Personality mbovu ( Huna mahaba, hasira 24/7 ) n.k
Ila sisi Wanaume tunahitaji vitu vichache sana kwa hawa Wanawake:
- Heshima.
- Unyenyekevu.
- Familia.
- Pussy.
Mwanaume anaweza cheat kwa sababu Mke wake hamuheshimu, unyenyekevu hana na ananyimwa Pussy. Pia Mwanaume anaweza Cheat na hata Wanawake tofauti 10 hadi 20 kwa sababu tu anataka kujaribu radha tofauti tofauti za Pussy ila DEEP DOWN BADO MOYO WAKE UPO KWA MKEWE.
MEN CHEAT FOR TEMPORARY PLEASURES BUT WOMEN CHEATS FOR LOVE & COMMITMENTS.
Ni ngumu sana Mwanamke kumvulia nguo Mwanaume ambaye hana hisia naye.
Hata kama ukimkuta Mwanamke wako amecheat na mtu wa aina yoyote kati ya hawa:
- Kiwete.
- Mwenye Kibamia ( hata kama una Tango ).
- Fukara wa Mwisho Duniani.
- Muhuni.
- Jambazi.
- Padri.
- Sheikh n.k
Ujue tu Kashahamisha upendo kutoka kwako kwenda kwa hao moja kati ya hao majamaa anao-cheat nao.
Sometimes wanaweza cheat na watu wa ajabu ajabu sana hadi ukasema labda alitereza tu, acha nimsamehe... fuck no, unajichimbia kaburi Brother. Women are loyal to their feelings ( Wanawake ni waaminifu wa hisia zao tu ).
Sasa wewe jifanye saint halafu msamehe, complications zake zitakuwa hizi:
- Atakudharau kwa sababu atakuona dhaifu
- Utampa mahitaji ila Moyo wake upo huko.
- Atakuletea Magonjwa.
- Atakuletea laana & mikosi kutoka huko kwa hao Wanaume ( Sex is Spiritual ).
- Atakuletea watoto wasio wako.
- Ataweza hata kukuwekea Sumu ukufe ili tu alete Mchepuko aishi nae wale mali zako ( Mwanamke akipenda anakuwa haoni wala hasikii ).
NARUDIA TENA: MWANAUME ANA-CHEAT KWA SABABU YA TAMAA, ILA MWANAMKE ANA-CHEAT KWA SABABU YA MAPENZI.
Haijalishi una mapungufu gani ( Pesa, Nguvu za Kiume, Muda, Ucheshi n.k ) kamwe usiruhusu Mwanamke aliyeku-cheat arudi ndani ya maisha yako. Kama anakupenda, atakuheshimu.. na atakusaidia uzishinde changamoto zote hizo ( we call it COMMUNICATIONS ).
"We Men always learns the hard way"
Anaandika @bold_ix6 ✍️

جاري تحميل الاقتراحات...