1. Wanaondoka acha waende,
Kubali watu wabaya waondoke,
Usiwang'ang'anie wakati wanakuumiza,
Aidha ni mahusiano au familia
Hata kama umekuwa nao kwa muda mrefu vipi,
Kuwa mwaminifu kwa nafsi yako
Wakatae bila kuwapa maelezo.
Itakupa muda wa kujiponywa.
Muda ni daktari.

2. Hakuna kujionea huruma,
Hakuna kitu cha kiwaki kama kujionea huruma,
Inakufanya uwe dhaifu na kujipatia kisingizio cha kufeli,
Kumbuka waliotoboa wote hawakutafuta huruma kwa mtu wala kulalamika
Walikaza bila kujali wanapitia nini
Tumia maumivu kama kichocheo cha kuwin.

3. Punguza muda ya mitandao ya jamii,
Mitandao ni upanga unaokata pande zote,
Unaweza kujifunza, na kupiga hela au
Unaweza kupoteza na kuishi kuwa mpiganyeto bora,
Wengi wakiamka ni kufatilia mambo ya watu,
Wanataarifa nyingi ila maarifa hawana
Jiulize kabla hujawasha data.

4. Kujilaumu,
Wakati unajitafuta kuna muda unakuwa na mashaka na malengo yako,
"Nitatoboa kweli"..
Ni kawaida kama hujawahi kuwa tajiri na ukawaza utajiri
Hapo ndio walipotokea wale wasenge wa "Ng'ombe wa masikini hazai,
Hao ni mafara,
Endelea kukaza na muachie Mungu.

5. Acha maisha yaendelee
Kuna watu wanashikiria vitu bila kujua kama vinawaumiza,
Njia ya kudili na tatizo ni kulikabiri au kulipotezea,
Sio kulishikiria.
Mwisho utaishia kujichukia na kukosa Amani
Ni mwanamke? Acha aende,
Mwanaume unahitaji Amani ya nafsi na heshima tu.

6. Ondoa kelele
Kwa watu, mitandao au taarifa za habari,
Kuna taarifa nyingi lakini cha kujifunza hamna,
Ndio maana nasema bora ushinde kwenye timeline yangu sio BBC
Zima simu, Chukua kahawa au chai
Kaa peke yako, utapata suluhisho la shida zako nyingi.

7. Acha kujilinganisha na wengine,
Ukienda chooni, kojoa ondoka na sio kuangalia ukubwa wa mboo ya mtu mwingine,
Kujilinganisha na mtu ni kitu cha asili ili ukizidi lazima upate ugonjwa wa akili,
Kwa sababu badala ya kudili na maendeleo yako,
Upo busy kuangalia ya watu.

8. Epuka umbea
Tunaishi zama ambazo wanaume wambea kama wanawake,
Kumuongelea mwingine ni kujimaliza mwenyewe kiakili,
Utachukiwa na wengine kwa kumfanya mwingine aonekane mbaya,
Kabla hujamuongelea mwingine kwa ubaya jiulize wao wataniongelea vipi.

9. Kusubiria muda mzuri/sahihi
Hakuna muda sahihi,
Muda sahihi kuanza biashara,
Muda sahihi kupata mtoto,
Watu wanasubiri muda sahihi kwenye kila kitu,
Kumbuka muda sahihi hautofika kamwe,
Na Utaendelea kupoteza muda.

10. Usijichukulie serious sana
Unavyopanga malengo yako inatakiwa uwe na nidhamu kubwa kisha lazima uwe serious,
Lakini kuna muda wa kucheka na kufurahia safari ya malengo yako
Kucheka ni afya na huondoa msongo,
Kuwa serious ni muhimu lakini usisahau kutabasamu.

11. Acha ya nyuma yapite
Watu wengi wanaishi kwenye mambo ya nyuma na kujisahau kuwa yamepita,
Na hakuna wanachoweza kubadilisha,
Muda unaotakiwa kurudia ya nyuma ni pale unapotaka kujifunza kitu kwa makosa yaliyopita
Na sio kuyaishi maumivu.
Werevu wanajua thamani ni sasa.

Ni 2024 - Nifollow kwa @ommyfitness
Na turn on post notifications
Weka Bookmark hakika itakusaidia
Jiunge Channel ya wafalme Telegram kwa madini zaidi.
t.me

جاري تحميل الاقتراحات...