Mfalme 👑🇹🇿
Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

8 تغريدة 7 قراءة Sep 23, 2023
EPUKA HAWA WANAWAKE 6 HARAKA;
Uzi 🧵
1. Golddiggers
Kifupi hawa wanawake wapo na wewe kwa sababu moja tu ya hela zako au status yako
Kupenda vitu ni asili ya mwanamke ila kuna tofauti kati ya mtu anayekupenda tu na anayependa pesa yako
Epuka hawa Leo hata kama zipo kwa sababu unachompa hutokuwa nacho siku zote.
2. Energy drainers
Anakutumia kwa ajili ya ngono na hana anacholeta kwako zaid ya uzito,
Hawa wapo vyuoni, kumbi za starehe na kadhalika. Wana wanaume wengi hivyo usijione mwamba
Ukianza kuona unachoka na huna mzuka wa kazi baada ya kulala nae , USIMRUDIE TENA.
PEPO HILO.
3. Manipulators
Hawa wanaweza kulia na kuomba msamaha mpaka ukahisi wewe ndio mwenye makosa
Huyu ni feminist wa kisasa kabisa, unaweza hata kumfumania na ukamsamehe
Wanavuruga masculinity yako, huelewi kumsamehe ndio uanaume au kumuacha ndio uanaume.
KIMBIAAAAAAAAA.
4. Dominant Behavior
Kuna hawa wanawake wanajiita superwoman, wanajikuta wana nguvu kama wanaume
Wanajikuta watetezi wa wanawake, trust me bro huwezi kujenga na mwanamke huyo
Masculine+ feminine= Upendo
Masculine+ Masculine= Vita
Hawa wanaweza kubishana na wewe na wakashinda
5. Disclaimer
Hawa wanataka kuona mazuri yako tu, wanataka uwe bora muda wote
Akisema nataka hela ya kikoba Leo, ukisema nitakupa kesho atanuna na mchezo hutopewa
Atasema kuwa real man kaibe, kakope nahitaji Leo.
Njia pekee ya kuwa salama nao ni kutowaletea tamaa hawa.
6. Unavailability
Yuko busy muda wote, ana visingizio kibao
Mama kanikataza, nafatiliwa na kaka n.k
Mwanamke akikupenda atavuka bonde na bahari kukuona..USIWE KAMA MJINGA
Atakutafuta akijihisi yuko mpweke au ana shida
Hayuko busy, anakutumia kwa attention
KUWA JIWE PIA.
1. Nifollow @ommyfitness
2. Repost iwafikie wafalme wengi
3. Weka bookmark usome mara kwa mara
4. Karibu telegram channel ya WAFALME
t.me

جاري تحميل الاقتراحات...