Mfalme 👑🇹🇿
Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

11 تغريدة 5 قراءة Aug 23, 2023
DAKIKA 10 ASUBUHI KUONDOKA KITAMBI NA MAFUTA KIUNONI HARAKA
UZI 🧵
1. Mountain climbers (fanya mara 30)
2. Side climbers (fanya mara 35)
3. Plank step (fanya mara 40)
4. Toe touch (fanya mara 30)
5. Commandos (fanya mara 40)
6. Plank (fanya sekunde 60)
7. Superman kick (fanya mara 30)
8. Shoulder tap (fanya mara 30)
ZINGATIA;
1. Fanya mazoezi haya kila siku kwa siku 30
2. Kama unaweza kwenda zaidi nenda
3. Pumzika sekunde 15 katikati ya zoezi
4. Pumzika dakika 1 kufanya zoezi lingine
5. Acha matumizi ya ngano na sukari
6. Pima kilo kila baada ya wiki 1
7. Kama hupungui chunguza unachokula
•Kama umejifunza kitu kipya Retweet iwafikie na wengine
•Nifollow @ommyfitness
•Uliza swali nitakujibu
• Usisahau ku-subscribe YouTube channel yetu
•Nifollow Instagram kwa videos zaidi
instagram.com

جاري تحميل الاقتراحات...