Mfalme 👑🇹🇿
Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

11 تغريدة 13 قراءة Aug 21, 2023
KILA MWANAUME ASHIKE 10 YAFUATAYO;
UZI 🧵
1. Hatukuumbwa kuwa na furaha
Mwanaume kila wikiendi wa
unaenda kula unachokiita bata,
Mwanaume hakuumbwa kuwa na starehe
Ila mapambano, kushinda, struggle na kuwa mgumu kwenye kila angle
Usitafute furaha, achia wanawake & watoto
2. Wanawake hawatotibu shida zako
Kama huridhiki na wewe mwenyewe hata mademu hawatokusaidia pia,
Lazima uweke maisha yako mbele,
Na usitarajie furaha wakati wa vita
Acha kutafuta furaha, FOCUS
3. Una wajibu na majukumu
Wajibu wa mwanaume ni kuhudumia na kulinda anaowapenda,
Familia yako na watu wanaokutegemea,
Kuwa mwanaume na chukua majukumu.
4. Hakuna anayejali kuwa una huzuni
Mwanamke hajali unavyojisikia,
biashara haijali kama unaumwa,
Hakuna anayejali zaidi yako mwenyewe,
Chagua kuendelea kujiboresha au endelea kulala ukiwa mpweke na huzuni.
5. Mwanaume bila nidhamu, utafeli.
Siri pekee ya kufanikiwa sehemu yoyote ya maisha ni kufanya na kufanya tena,
Hasa siku ambazo hujisikii kufanya.
Kuwa mwanaume mwenye nidhamu imara.
6. Hakuna anayekuja kukusaidia
• Hakuna atakayekuja kukuamsha
• Hakuna atakaye-force ufanye mazoezi
• Hakuna atakakwambia fanya hivi na vile uwe tajiri
Unatakiwa ujitengeneze mwenyewe.
7. Wanawake hawapendi udhaifu wako
Matatizo na udhaifu wako havitokufanya akuonee huruma
Usimwambie shida zako, zitatue changamoto unazokutana nazo
Acha kusema nilifanya hivi nikafanye vile kama haoni jitihada zako,
Muache mdogo mdogo.
8. Kama kweli unaitaka, utaipata
Kama unahisi umefanya mpaka mwisho na hujaona matokeo unayotaka,
Nina uhakika hujakaza vya kutosha.
Fanya tena.
9. Hisia zako ziweke sehemu ya pili
Cha kwanza kiwe ni malengo na majukumu yako.
Wanaume wanafanya kutokana na kanuni zao,
Sijui unajisiakiaje au watanionaje hiyo haijalishi.
10. Kama huna hamu ya kufanikiwa, utabakia vile vile
Unaweza kumpeleka mbuzi mtoni ila huwezi kumlazimisha kunywa maji,
Umepewa kila kitu na Mungu ila bado huoni fursa.
Umepewa ubongo na misuli ila huna tofauti na kilema asiye na viungo kamili.
Ili kupata engagement na maokoto ya Elon musk, hakikisha ume-repost na ku-comment mtazamo wako kila mtu asome.
Nifollow @ommyfitness
Kwa video za mazoezi , usisahau ku-subscribe
youtube.com

جاري تحميل الاقتراحات...