Mwanaume akiwa na zaidi ya 15% ya mafuta, testosterone hupungua, estrogen kuongezeka na yupo kwenye hatari ya kupata:
- Magoti
- Uchovu
- Msongo
- Kisukari
- kiharusi
- Saratani
- Kutosimamisha
- Moyo & mapafu
- Kukosa usingizi
- Kukosa hamu ya tendo
- Kupoteza kumbukumbu
- Magoti
- Uchovu
- Msongo
- Kisukari
- kiharusi
- Saratani
- Kutosimamisha
- Moyo & mapafu
- Kukosa usingizi
- Kukosa hamu ya tendo
- Kupoteza kumbukumbu
Ukiwa chini ya 15%, testosterone hupanda na homoni za kike kupungua.
- Kujiamini
- Nguvu nyingi
- Hamu ya tendo
- Uwezo wa Kufikiria
- Kusimamisha vyema
- Mfumo imara wa kinga
- Muonekano mzuri ukiwa uchi au nguo
Rekebisha makosa yafuatayo ujipate 👇
- Kujiamini
- Nguvu nyingi
- Hamu ya tendo
- Uwezo wa Kufikiria
- Kusimamisha vyema
- Mfumo imara wa kinga
- Muonekano mzuri ukiwa uchi au nguo
Rekebisha makosa yafuatayo ujipate 👇
1. Kutofatilia kaloris unazokula
Kama mafuta hayapungui, basi haujapungua kaloris unazokula
Kikawaida unahitaji kupunguza kaloris 800-1000
Ni njia rahisi kuhakikisha unakula kaloris kidogo
Program kama yangu ya weight loss, inaweza kukurahisishia.
Unakuwa unachokula.

2. Huli protini ya kutosha
Protini nyingi ni ufunguo wa punguza mafuta moja kwa moja
- Itakufanya ushibe muda wote
- Kaloris huchomwa wakati unakula
- Kujenga mwili chuma
-Misuli mingi= kuchomwa kwa mafuta zaidi
Kula gram 1 ya protini kwa kila nusu kilo ya mwili wako.

3. Unalala kidogo sana
Kupata usingizi wa kutosha ni muhimu ili kupunguza uzito na mafuta
Unahitaji masaa 7+ ya usingizi kila usiku
Unakosa usingizi?
- Zima taa
- Kula saa mbili
- Usitumie kafeini mchana
- Lalia upande wa kushoto
- Usitumie simu saa moja kabla ya kulala

4. Unafanya sana mazoezi ya cardio
Wakitaka kupunguza mafuta, wengi huanza na kukimbia au kuruka ruka
Ila mazoezi ya kwanza muhimu kuzingatia ni mazoezi ya nguvu & resistance
Kadri unavyojenga misuli ndani, ndivyo kaloris na mafuta hukimbia mwilini
Fanya cardio kama warm up.

5. Hauna muendelezo
Ni sawa kukosa mazoezi, au kula vibaya ukiwa kwenye diet
Ila usifanye hiyo tabia itokee kila mwisho wa wiki
Unatakiwa ubakie kwenye muongozo za afya na mazoezi kwa 90%
Huwezi kukosa siku zaidi ya mbili mfululizo.

6. Kutoshughulisha mwili
Unakuta mtu anapanda lifti wakati anaenda gym!
Inashangaza sana,
Kazi zetu nyingi ni za kukaa sana, hivyo hatupati muda wa kushughulisha mwili
Ukiwa Ofisini kila baada ya saa moja inuka piga squats 10, Push ups 5
Endelea na kazi.

Makosa 6 kwanini hupunguzi mafuta & kitambi;
1. Kutofatilia kaloris unazokula
2. Huli protini ya kutosha
3. Unalala kidogo sana
4. Unafanya sana mazoezi ya cardio
5. Hauna muendelezo
6. Kutoshughulisha mwili
1. Kutofatilia kaloris unazokula
2. Huli protini ya kutosha
3. Unalala kidogo sana
4. Unafanya sana mazoezi ya cardio
5. Hauna muendelezo
6. Kutoshughulisha mwili
1. Kama umejifunza kitu nifollow @ommyfitness
2. Retweet iwafikie wenye vitambi wote
3. Instagram kwa videos za mazoezi
instagram.com
4. Usisahau YouTube channel / Dakika 7 za plank mara moja
youtu.be
5. Karibu Group la WhatsApp, 5000 kwa mwaka.
2. Retweet iwafikie wenye vitambi wote
3. Instagram kwa videos za mazoezi
instagram.com
4. Usisahau YouTube channel / Dakika 7 za plank mara moja
youtu.be
5. Karibu Group la WhatsApp, 5000 kwa mwaka.
جاري تحميل الاقتراحات...