Fikiria umezaliwa mwanaume, zawadi kubwa kwenye sayari Dunia na unaichezea, ni dharau unayomfanyia muumba wako.
Kama wewe mtu wa kubeti, una tabia za kitoto na mtu wa kujimaliza na kucheka cheka na wanawake, huu Uzi haukufai ishia hapa.

1. Kufanyia utani ndoto na mipango yako;
Kuwa mtu poa ni muhimu na wote tunajua hutakiwi kuchukulia vitu serious ila kuna baadhi ya vitu usivifanyie masihara.
Namba moja ni malengo, kama una malengo makubwa maishani usifanyie masihara, wengi hutengenezea hadi memes

Hiyo ni mbinu dhaifu ya kujitetea kwa sababu hujiamini au kutaka kuwafanya wanaokuzunguka wakupende na kujisikia vizuri.
Sikia, usifanyie utani malengo yako na usikubali watu wengine wafanye utani juu ya ndoto zako.
Hata kama umenizoea sana, usifanye masihara na malengo yangu

Nabadilika muda wowote na siogopi kumpoteza yeyote,
Mtu akifanya utani muoneshe kuwa ujinga hupendi kisha aombe msamaha na asirudie tena.
Sikia, kama watu wako wa karibu hawana mchango wowote kwenye ndoto zako wasisitize kukaa kimya.
Sijali ni rafiki yako au mchumba.

2. Kila muda kuzungukwa na watu
Watu wengi wanapoteza uwezo wao kwa sababu hawawezi kukaa peke yao,
Usinielewe tofauti, kuepuka na porno nilisema Kaa na watu ila hii ni tofauti.
Wengi hawatoboi hapa aidha watafute marafiki wapuuzi au watafute mademu ili kukimbia upweke.

Kama mwanaume, unatakiwa upate muda wa kwenda mahali mwenyewe au ukae peke yako chumbani.
Hata kama utakuwa unazungukwa na watu wenye hadhi ya juu, kuna wakati unahitaji kuwa mwenyewe.
Unaweza kwenda kutembea, cinema, beach peke yako ili upate muda wa Kufikiria

Fikiria, meditate au fanya chochote ubaki wewe na mawazo yako tu.
Watu wa kawaida watasema unashangaza au hata kukucheka ila usiwaze asset kubwa uliyobarikiwa ni akili yako tu.
Na kama huwezi kwenda mahali mwenyewe na kubaki peke yako na mawazo yako, umeshapoteza.

3. Muda wote kuwa mpweke
Hii usichanganye na hoja iliyopita kuna tofauti kati ya kuwa peke yako na kuwa mpweke.
Inatakiwa upate muda wa kutafuta amani na upekee lakini pia unatakiwa kuzungukwa na watu wenye akili ya kiume.
Unahitaji Wana muhimu itakufanya uwe poa zaidi.

Kuna watu wanasema mimi ndio nipo hivi hivi, wengine wanasema Mimi ni sigma kwa sababu tu hawana uwezo wa kuchangamana na wengine.
Huwa wanachanganya umuhimu wa kuwa mwenyewe kwa muda na nguvu ya kuwa na watu muhimu karibu
kuwa na watu wa muhimu karibu👇
t.me

4. Kuwasikiliza influencers
Kuna ushauri mwingi wa bure mtandaoni usichukue kila kitu,
Unaweza kuona mtu kama Andrew Tate anasema usisome vitabu na wengi wanamfuata
Lakini wanasahau baba yake alikuwa na genius wa Chess ♟️ na hawa experience ya maisha ya Tate

Unamsikilizaje Tate kwenye hilo?
Huo ni mfano tu, ila kuna vingi vya mtandaoni unatakiwa kuvichuja kabla ya kuvifanyia kazi.
Hata kama mtu ana ushauri mzuri ila kama hauendani na wewe, utakuwa ushauri mbaya tu
Unatakiwa ujiongeze usiwe kama kenge,

5. Kuhisi majuto kwenye ndoto zako
Kuna wengi wanajisikia vibaya kwa sababu ya malengo makubwa,
Kwa sababu familia au rafiki zao hawajawahi kufanikisha jambo lolote kubwa.
Ndio maana wanafata mkondo
Hakikisha uiangushi roho yako, hakikisha haujadili mipango yako na familia

6. Kushikwa na hisia kupitiliza
Kila mmoja ana hisia kali na mtu, vitu au mahali na unahisi huwezi kuishi bila hivyo
Lakini uhalisia ni kwamba unampoteza yeyote unayempenda sana anaweza kuwa mama, mtoto au mpenzi.
Nasema hivi ili uweze kujiandaa kumpoteza yeyote

Jiandae kwa lolote kwa sababu unaweza kupoteza chochote kikubwa saizi au baadae
Huwezi kuwa na hisia kali kiasi cha kuharibu maisha yako kwa sababu ya kumpoteza mtu
Najua utaumia hata ujipange vipi lakini kuumia na kuharibikiwa ni vitu viwili tofauti.
Kifo kitakuja kwetu sote.

7. Kujichekesha kwa mademu (simp)
Kila mwana anajua hii sio tabia njema lakini kuna watu bado wana simp kwa wanawake
Demu akipost picha utaona wanavyo-simp
Huo udhaifu upo tu ndani yao maana hata umwambie vipi bado ataendelea kutuma text wakati ya mwanzo haijajibiwa

Kujiongelesha kwa mademu inaweza kuonekana ni utani lakini kiuhalisia inashusha sana heshima yako,
Hakuna utani kama unaohusisha kujishushia heshima,
Na watu hawa sio wa kuwaamini wanaweza kufanya chochote ili apate attention kwa Mwanamke

8. Kukubali kuonewa
Tukisikia kuonewa tunakumbuka shule lakini inatokea sehemu nyingi na kwa njia tofauti
Inaweza kuwa maneno ya mtu kwenye familia au mfanyakazi mwenzio na amefanya hivyo mbele za watu
Au mchizi aliyefanya utani juu yako dhidi ya mademu ili aonekane anajua

Usikubali hilo litokee nyanyuka na fanya kitu,
Siku zote nasema "unyonge dhambi" na uzuri kwa kudili na watu wanaohisi wanakuweza, ni mara moja inatosha.
Hivyo kwa wote, mnaodhani nimepotezea "kisasi ni haki"
TUTAKUTANA SIKU MOJA, NITAWALIPA.

9. Kuongea sana
Ukishakuwa mtu aliyefanikiwa usiongee sana, uliza
Wengi wanaongea vitu wanavyovijua na sio kusikiliza ili wajue wasivyovijua
Ukishafanikiwa, kuwa na heshima, usiongee sana ila uliza maswali
Kuuliza kwanini, hutojifunza tu ila wengi watavutiwa na wewe

1. Kama umejifunza kitu nifollow @ommyfitness
2. Retweet iwafikie wengi
3. Nifollow Instagram kwa videos za mazoezi.👇
instagram.com
4. Tafadhari subscribe YouTube channel yetu
youtu.be
5. Group la WhatsApp, Ada 5000/ mwaka
chat.whatsapp.com

جاري تحميل الاقتراحات...