1. Kegels
Haya ni mazoezi maalum ya misuli sakafu pelvic.
Ukiwa na sakafu dhaifu utamwaga sekunde ya 3 au kabla hujaingiza
Uume umekuwa dhaifu kwa sababu hufanyi mazoezi ya misuli husika
Kukimbia na kutembea sio kegels
Fanya mazoezi ya kegels mara 3 -4 kwa wiki

2. Acha kuangalia video za uchi (porno)
Kuna wale,
Naangalia mara moja tu, naangalia tu ila sipigi nyeto, au naangalia na mwenzangu,
Mwehu wewe, porno haijalii unaangalia kwa lengo gani inaua ubongo wako,
Hutotamani tendo halisi.
Na utakuwa dhaifu kama mlenda.

3. Tongkat Ali
Hii ni supplements ya kuongeza testosterone
Sio dawa ya kutibu uume wako,
Hivyo zingatia zaidi kuongeza testosterone yako kuliko kumeza vidonge
Kuna vyakula vingi vya kula,
na vingi vya kuacha kula, kwa sababu vinashusha testosterone na tumeshavizoea.
Amka.

4. Zinc
Upungufu wa zinc wa madini ya zinc hupelekea kuwa na testosterone ndogo,
Ili ujipate chumbani lazima uwe na zinc ya kutosha mwilini,
Sio kula tatizo la afya linahitaji kidonge,
Ongeza zinc kwa kula mbegu za maboga, kitungui swaumu , chaza n.k

5. Epuka pombe
Pombe hushusha testosterone na kuchochea uzalishaji wa estrogen (homoni za kike)
Ukishakuwa na homoni nyingi za kike, mbegu hupungua na misuli kujaa mafuta
Hivyo huwezi kuwa na hamu halisi ya tendo ukiwa mlevi,
Utaongozwa na pombe ukifa pole pole.

6. Mwanga wa jua
Dakika 30 za mwaka wa jua huongeza testosterone kwa kiwango cha juu,
Ukiwa na testosterone ya juu utakuwa na nguvu, utakuwa na misuli, utasimama vyema na kwenda dk nyingi bila kuchoma
Usikae ndani hata kama mgonjwa, kuna nguvu kubwa ipo kwenye jua.

7. Punguza unene
Seli zenye mafuta ni mbaya kwa testosterone
Sio mbaya kawaida ni hatari sana, ukishakuwa na kitambi elewa wewe ni mgonjwa
Upo kwenye hatari ya magonjwa yote ila kubwa ni nguvu za kiume
Shusha mafuta mpaka 10-15% sio rahisi lazima ujitoe.

8. Kula vyakula na matunda muhimu
Sikiliza, kama nitasema hiki ni kibaya au hiki ni kizuri ni kwa ajili yako sio yangu,
Sitokupa maelezo yeyote kama sijawahi kuona muamala wako kwangu,
Kula mara kwa mara
-Tikiti, mayai, parachichi, zabibu, ndizi, karoti n.k
Mara kwa mara.

9. Mazoezi makali ya cardio
Ni mazoezi yanayohusisha mapigo makubwa ya moyo wako, mapigo 70-80%
Huimarisha moyo, mapafu na kusaidia seli kuchoma mafuta sana
Baadhi yenu hamsimamishi vizuri kwa sababu mishipa imefunga,
Ifungue kwa kujitesa,
Unakimbia kawaida, unaona mazoezi?

10. Virutubisho
Kuna wengi wanauliza;
1. L-citrulline
2.L- Arginine
3. Magnesium
Niamini mimi, hayo ni majina tu ila ndani kuna madini ambayo yanapatika kwenye vyakula vya kila siku
Unamuamini mzungu, umesahau ni Biashara
Usipojirekebisha utamaliza vidonge vyote na usipone.

Epuka Fluoride ila ni sumu hatari inayoshusha testosterone
Wanasayansi wanasema ni sumu ila tumia kwa kiasi kidogo, Poor fact..Sumu ni sumu iwe nyingi au kidogo
Wamekufundisha inasaidia meno na mifupa? Endelea kutumia.
Epuka kushika plastiki & risiti, nilishaeleza kwanini.

1.Kama umejifunza kitu follow @ommyfitness
2. Retweet na hifadhi kuokoa vizazi
3. Kama unahitaji kupona njoo DM, kuna gharama.
3. Nifollow Instagram 👇
instagram.com
4. Subscribe YouTube
youtu.be
6. Njoo telegram
t.me
MWISHO.

جاري تحميل الاقتراحات...