Mfalme 👑🇹🇿
Mfalme 👑🇹🇿

@MfalmewaX

16 تغريدة 33 قراءة May 04, 2023
Jinsi ya KUTOKUWA na Urafiki na Mwanamke unaempenda..!!
Uzi 🧵
Kuna sababu 4 kwanini Wanaume wengi wanaishia kuwa marafiki na Mwanamke:
⁣⁣⁣⁣
1. kutotumia maneno ya ushawishi
⁣⁣⁣⁣
2. kutofanya miguso ya Mwili
⁣⁣⁣⁣
3. Kubembeleza Sana & kufatisha wanachokisema wanawake
⁣⁣⁣⁣4.Kuwazingatia Sana bila Sababu ya Msingi
Leo Wanaume wanatabia Mbovu ya kutokujizuia kwa Wanawake, Wanawapa attention isiyo na Maana.
⁣⁣⁣⁣
Wanaamini kwenye Movies kwamba Mwanamke apambwe na afanywe kama Mtoto wa Mfalme..
Wanawapeleka kwenye Dates za Gharama, Wanatumia Masaa mengi pamoja hawafunguki wiki na mawiki
Wanashangaa wanaishia kutumika kama ATM, Mshauri wa kihisia au kufanywa shosti yake na Mwanamke anayemtaka.
⁣⁣⁣⁣
Huu ndio Ukweli wa Mahusiano ya Wanaume wengi siku hizi..
Mwanaume unatumiaje emoj kuchat? Mwanaume unakuwaje na Urafiki na Mwanamke aliyekukataa..?
Najiuliza tu
Wanakosa Mipango Imara na kuishia kufanya Makosa yale yale kama Wanaume wengine, wanaishia kumkosa Mwanamke anayemtaka, kupoteza Hela na kuonekana huna Maajabu
⁣⁣⁣⁣
Kama unahitaji kupata Matokeo Tofauti Kutokana kwa Mwanamke, unatakiwa uwe TOFAUTI.
Badala ya kuchat na Wanawake kwa Masaa ili kujenga Ukaribu, Tumia Dakika 2 ya Kuongea Muombe mtoke out hamia kwa Mwanamke mwingine akisema "Hapana"
Usitumie pesa Mingi na Masaa kibao kukutana na Mwanamke kwa mara ya kwanza, Fanya iwe simple nenda nae Duka la karibu na Home, Kunywa nae Maji , Kisha mvute
Nasema hivi kwa sababu Wanawake wengi Hawapendi complications na Drama ila sisi tunaigiza Sana.
Na Badala ya kujaribu kumfanya kila Msichana karibu yako avutiwe na wewe, Jaribu kumtoa Maana kila Mwanamke unayekutana nae
Sio Gorgeous, Pretty, Fuck Urembo wake ongea nae kama Mtu wa kawaida tu.
Siri ya kuepuka urafiki ni matumizi Mazuri ya Muda wako na attention yako kwake.
Na ukijiweka kuwa Muda, attention, pesa zako unavithamini Sana na Ngumu kuvipata..
⁣⁣⁣
Wanawake wataanza kukuheshimu..
Kuwa mr. Nice Guy sana ni kikwazo kikubwa kumvutia Mwanamke wa Ndoto zako, Nilisema
Ili kuepuka urafiki na Mwanamke, kuwa Jasiri, jiamini na thubutu
Unahitaji kuchukua Hatari na kumuonesha wewe ni Mwanaume unayejua Nini unakitaka na huogopi kukifuata..
Kama mara zote unajikuta unaishia kwenye Urafiki, ni Muda wa kuangalia Vyema tabia zako na kufanya Mabadiliko;
⁣⁣⁣⁣1. Acha kuwa mtu wa kukubali tu;
Jifunze kuelezea Mawazo yako na Matamanio, na kuwa tayari kutokukubali pale heshima yapo inapotaka kushushwa.
2. Chukua Uongozi; Usisubiri Mwanamke afanye Maamuzi yote au kuchukua hatua kila Wakati
Niliwahi kusema usiwe Mtu wa kutumia "Nafikiria", "Labda" au "nahisi"
Panga dates, Pendekeza, Muoneshe wewe ni Mwanaume unayejua Nini unataka na uko Tayari kuongoza.
3. Onesha dhamira ya kimapenzi Mapema;
Acha kona Kona, kama Unataka kumvutia Mwanamke usijaribu kuficha au kusema "tuwe marafiki"
Kuwa muwazi na kufungua hisia zako, Muache ajue kuwa umevutiwa nae kimapenzi toka Mwanzo.
4. Usiogope kukataliwa
Ukitaka kulala na Wanawake Mia 1, Basi tongoza Elfu 1
Wengi wanaishia kuwa marafiki kwa sababu wanaogopa kukataliwa
Kukataliwa ni Asili ya mchakato wa Mahusiano, na Huwezi kufanikiwa kama Hauko tayari kuchukua Hatari
"Huwezi kunyimwa kama hauombi"
Na Sio kila anayekukataa amemaanisha amekukataa..
Nina Demu wangu ambaye hapo awali alisema nikae mbali na yeye Kwa kuwa ana Bwana ake Mwanajeshi, Nikamwambia Mimi ni Kuruti
..Leo ndiye anayesema mara kwa mara hawezi kuishi bila Mimi.
Tuishie Hapa , Nadhani sasa tutaongea lugha Moja ya Hawa ladies
Njoo Telegram Channel
t.me

جاري تحميل الاقتراحات...